Natafuta Auditing Firm_Arusha

Jagood

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2016
Posts
2,144
Reaction score
2,397
Habarini wana Jf

Nina shahada ya Uhasibu, natafuta Auditing Firm kwa Arusha ili niweze kujifunza Zaidi kuhusiana na auditing (Nafasi ya kujitolea kwa malipo kidogo).

Asanteni.

Mwenye uwezo wa kunisaidia kwa hili
PM zote nita jibu.

Kwa sasa ni napatikana Arusha
 
Kujitolea bila malipo uko tayari?kuna firm pale AICC na link nao.
 
Kama Una A au B za Mathematics na English O-level , Advance Division I au II Chuo upper second tuwasiliane. Utakuja kunishukuru.
 
...mimi ninazo mkuu,...nakujia pm
 
Kama Una A au B za Mathematics na English O-level , Advance Division I au II Chuo upper second tuwasiliane. Utakuja kunishukuru.
hapo kwenye A na B umenikimbiza Chief.
 
Kama Una A au B za Mathematics na English O-level , Advance Division I au II Chuo upper second tuwasiliane. Utakuja kunishukuru.
Mi nina 1 kote lakin chuo ndio sijasoma mkuu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…