Natafuta asus zenfone 2

hyle master

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2013
Posts
209
Reaction score
23
wakuu nitaweza pata wapi asus zenfone 2 na ina ghalimu kiasi gani kwa dar
 
Zenfone 2 hazijaingia labda umpate mtu akuletee moja kwa moja, hapa utapata Zenfone 5.
 
Mimi ninayo ila sijaipenda kwa kuwa inatumia line moja tu kwa interne
 
kariakoo zipo kibao unachangua rangi tu nenda agrey nmeziona kwa duka moja zipo nyingi sana,nilikuwa nazitaka bu nimebadilisha maamuzi nachukua p8 lite nimependa design yake,good luck
 
Nahitaji zenfone 5, kwa anaejua wapi zinapatikana anijulishe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ