Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,165
- 2,670
Habarini wakuu, poleni na majukumu ya hapa na pale. Kwa anayejuana na wakulima wa asali tafadhali naomba aniunganishe nao, nataka asali ya kununua kwa ajili ya biashara
Nina asali Kutoka tabora dumu za Lita ishirini zipo 25. Nicheki 0689315582Habarini wakuu, poleni na majukumu ya hapa na pale. Kwa anayejuana na wakulima wa asali tafadhali naomba aniunganishe nao, nataka asali ya kununua kwa ajili ya biashara
Habari mkuu, nauza asali kwa bei ya Jumla,Habarini wakuu, poleni na majukumu ya hapa na pale. Kwa anayejuana na wakulima wa asali tafadhali naomba aniunganishe nao, nataka asali ya kununua kwa ajili ya biashara
weka namba yako nikuunganishe