Natafuta App ya kufanya Fiancial record keeping

Livanga

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2010
Posts
475
Reaction score
157
Hello JF natafuta application ya kufanya record keeping especially financial record keeping. Mfano kama mkulima aweze kurecord data zake za kilas iku zinazohusia na na kilimo chake meaning mapato na matumizi.
Akifikia kuuza basi akiuza ioneshe kama amepata faida au hasara. Kama kuna Anroid App yenye uwezo wa kufanya kazi hiyo please nijulishe hapa kama lah basi kama mtu kuna mtu anaweza kutengeneza pia sio mbaya ukaja nawe.
Najua kuna app nyingi za marketing, price information na crop infomation but kuna upungufu mkubwa wa app za kumage budget na hii ndio ninayoitaka
 
Agronote-farm record
Asante sana natamani ningepata ya kiswahili ambayo wakulima wa Tanzania na wafugaji na watu wengine wanaweza kuitumia. Lengo langu ni kwenda kufundisha vijana (Youth) huko vijijini kufanay record keeping kwenye mradi ambao tunawafundisha na kuwapa mtaji mdogo wa bishara. So tunataka tuwafudnishe namna ya kutumia Technology kwa manufaa badala kushinda kwenye facebook na instagram. Zipo app nyingi za marketing information na price but record keeping hakuna na hapo tumegundua kuna shida kwa vijana wengi.
 
Hiyo niliyo kitumia ni ya record keeping waweza ichek. Yakiswahili sijui maana sijawahi iona

Kama unataka kutengenezewa ya kiswahili tukae mezani
 
Sawa tunaweza kukaa mezani. je wewe ni app builder?
any app you have created ili niweze kuona for reference?
 
Back
Top Bottom