Natafuta Apartment Segerea au Tabata

Natafuta Apartment Segerea au Tabata

Dingswayo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
4,019
Reaction score
2,932
Wakuu habari za leo? Nauliza kama kuna anayefahamu kama kuna apartments za kupanga sehemu za Segerea au Tabata kwa kupanga kuanzia kipindi cha mwezi mmoja. Apartments hizo ziwe na uzio ambamo kuna uwezekano wa kuegesha gari. Natanguliza shukrani.
 
Hivi chumba na sebule kule Tabata naweza kupanga kwa shs.ngapi kwa mwezi..? Pawe panafikika vizuri kwa gari, pawe na umeme na pawe na maji ya uhakika...
 
Nenda tabata sigara maghotofa ya sigara kuna apartment pale

Mwenzio anatafuta chumba. Apartment ziko Kariakoo. upanga . masaki n.k sio Tabata. chumba kiwe kwenye nyumba yenye uzio na geti. ila aangefafanua anataka chumba na sebule self au chumba tu bafu nje ?
 
Mwenzio anatafuta chumba. Apartment ziko Kariakoo. upanga . masaki n.k sio Tabata. chumba kiwe kwenye nyumba yenye uzio na geti. ila aangefafanua anataka chumba na sebule self au chumba tu bafu nje ?

Sitafuti chumba, natafuta apartment ambayo naweza kupanga kwa muda mfupi, nadhani kama hizo zilizopo katika sehemu ulizozitaja. Naulizia kama zipo Tabata au Segerea kwa sababu ya kuwa karibu na shughuli nazotaka kuzifanya.
 
Ndo nimekueleza hapo tabata sigara kuna ghorofa za sigara ambazo watu wamezinunua na kuzifanyia ukarabati kuna ulinzi masaa 24 nenda waone wale walinzi watakuonyesha zilizo wazi na kukuunganisha na mwenyewe hakuna dalali hapo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom