Natafuta apartment fully furnished maeneo ya Mbezi beach kwa muda wa mwezi mmoja

Queen V

JF-Expert Member
Jan 19, 2012
775
1,332
Natafuta apartment maeneo ya Mbezi Beach kwa muda wa mwezi mmoja.

Nitawasili jijini Dar nikitokea Kigoma Mwezi wa nane mwaka huu.

Nahitaji apartment hiyo iwe na kila kitu ndani.

Asanteni sana.

Namba ni: 0713 475 715
 
Natafuta apartment maeneo ya Mbezi Beach kwa muda wa mwezi mmoja.

Nitawasili jijini Dar nikitokea Kigoma Mwezi wa nane mwaka huu.

Nahitaji apartment hiyo iwe na kila kitu ndani.

Asanteni sana.
kama waweza watafute jamaa wa property
 
Back
Top Bottom