Natafuta any temporary job

Ness

Member
Joined
May 14, 2013
Posts
13
Reaction score
0
Mi ni binti wa kitanzania naishi dar,nmemalza form four na nmepata div 3,natafuta kaz yoyote ya kujishikiza mpka ntakapoenda chuo mwezi wa tisa,i speak fluent english,pia nina ujuzi wa computer hasa ms word n excel,mi ni mchapakazi pia,asanteni
 
Nadhani umeshapata, mimi ninayo ziko mbili moja ya saloon ya kiume, na ya pili ya kusimamia kibanda changu cha Mpesa, lakini mimi ndo nnaamua ufanye ipi, mshahara laki moja kwa mwezi plus chakula la mchana na hela ya nauli, kama uko tayari sema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…