gost
JF-Expert Member
- Dec 31, 2012
- 275
- 135
nina fire track sita na contena mbili za 20ft naitaji bei ya transit mpaka bunjumbura total cost ya kila kitu nikimaanisha bandari ya dar-es-salaam , madereva wakupeleka hayo magari sita na gari lakubeba hayo makontena ya 20ft ambayo kontena moja ni 40tan ,na cost za kupitisha boda burudi