ITEGAMATWI
JF-Expert Member
- Jan 26, 2012
- 5,362
- 4,125
Elfu themanini sio elfu nane nimekosea wakuu tatzo langu nipo vijijini sana daah!
Sasa kuna uhusiano gani wa kua kijijini na kukosea kuandika?
umepitwa na wakati hacha ushamba...
hacha ndio nini manake ??hacha ujanja wa mdomoni kijana ingekuwa tunaongea face 2 face ungeona ambacho kingekutokea mshenzi mkubwa
Unatafuta android kama Operating system (OS) au kifaa cha ki-elekitroniki kinachotumia OS ya Android? Na kama ni kifaa je ni kifaa gani? Simu ya mkononi,Tablet,Camera,smart TV,Saa ya mkononi au nini hasa?
hacha ujanja wa mdomoni kijana ingekuwa tunaongea face 2 face ungeona ambacho kingekutokea mshenzi mkubwa