Natafuta anayeweza kuongea Kiswahili nchini Uchina

Jasmine_

Member
Jul 23, 2014
21
2
Habari yenu,

mimi jina langu Jasmine. nimetoka nchi ya uchina. nimejifunza kiswahili kwa muda wa miezi sita hivi. na sasa nataka kuzungumza kiswahili na waswahili ili niboreshe kiswahili changu.

ninakaa mji wa Shenzhen. Shenzhen ni mji mmoja katika jimbo la Guangdong, kusini mwa Uchina. Natafuta mtu ambayo pia anakaa huko. Sababu labda tunaweza kuzungumza kiswahili katika wikiendi. Ikiwa unataka kujifunza Kichina pia, basi tunaweza kusaidiana.

haidhuru kama kwamba hukaa mji wa Shenzhen. tunaweza kuwasiliana kwa kutumia mtandao wa intaneti. kama vile skype , au msn , au qq au wechat au email.

asante sana
Jasmine
 
mi natamani kujua kichina
 
Hongera kwa kujifunza kiswahili,naamini utampata wa kukufundisha kiswahili kila la heri!
 
肯定你不是中国人,一看你的Swahili我觉得你是一个小黑鬼。

别骗人啊!!
 
Basi usipate taabu siku hizi dunia ni kijiji, mie kwa sasa niko Mpeketoni lakini tunaweza kuwasiliana kwa kiswahili fasaha .Karibu
 
肯定你不是中国人,一看你的Swahili我觉得你是一个小黑鬼。

别骗人啊!!

Mkuu maana yake nn hayo maneno
 
肯定你不是中国人,一看你的Swahili我觉得你是一个小黑鬼。

别骗人啊!!

Kan bu dong.:rolleyes:
 
肯定你不是中国人,一看你的Swahili我觉得你是一个小黑鬼。

别骗人啊!!

nifundishe alphabet za kichina
 
Habari yenu,

mimi jina langu Jasmine. nimetoka nchi ya uchina. nimejifunza kiswahili kwa muda wa miezi sita hivi. na sasa nataka kuzungumza kiswahili na waswahili ili niboreshe kiswahili changu.

ninakaa mji wa Shenzhen. Shenzhen ni mji mmoja katika jimbo la Guangdong, kusini mwa Uchina. Natafuta mtu ambayo pia anakaa huko. Sababu labda tunaweza kuzungumza kiswahili katika wikiendi. Ikiwa unataka kujifunza Kichina pia, basi tunaweza kusaidiana.

haidhuru kama kwamba hukaa mji wa Shenzhen. tunaweza kuwasiliana kwa kutumia mtandao wa intaneti. kama vile skype , au msn , au qq au wechat au email.

asante sana
Jasmine

Unajua Jasmine Kiswahili kina sifa kuu mbili
1. Kiswahili ni kitamu sana ukidanganywa( yaani mzungumzaji akidanganya kiswahili kinapendeza sana) Kwa hiyo kwa kuongea huko ulikoongea wewe naona tayali umeshatudanganya. Maana Tangu lini Mchina akaitwa JASMINE? Majina ya Wachina si tunayajua?
2. Kila neno la Kiswahili utakalotamka lina maana zaidi ya moja kwa hiyo hata matamshi yako uliyoyaandika hapo yana maana zaidi ya ulivyouliza. Yaani Jasmine Kiswahili kiache tu. Kiswahili Ni kitamu na tunakipenda sana, Mtu leo atatamka hivi!! ukikutana nae kesho atakwambia ulininukuu vibaya na maisha yanaendelea
Kwa hiyo sisi kila neno likitamkwa tunaanza kuwaza huyu ana maana ipi? Maana MAANA zipo nyingi!
kARIBU aFRIKA.
 
Habari yenu,
Asante kwa majawabu yenu.

Mimi ni mchina kweli kweli. nilijua jasmine ni jina la kiingereza.

Siku hizi mimi ninapokea mjumbe, asante sana. Lakini sasa mimi sina uwezo hapa jamiiforum kujibu mjumbe. labda nitaweza kujibu siku chache baadaye.

bado naombe kutafuta mtu fulani aliyekaa mji wa shenzhen. au , Je, una rafiki anakaa hapa?

ama labda tunaweza kuongea kwa njia ya mtandao. minatumia mtandao wa skype, lakini sijui kama mnaitumia au la? ama tunaweza kuwa rafiki wa baruapepe.
 
Habari yako Jasmine, vp umeshapata mtu wa kuongea nae kiswahili au bado unatafuta nikudaidie?

Bwana Karoli,
ndio, bado ninatafuta mtu wa kuongea nae kiswahili. bora tunaweza kuongea kwa njia ya skype. lakini sijui kama unatumia skype au la? ama tunaweza kutumia njia ya facebook. lakini naweza kutumia facebook kidogo (means I could't visit facebook very often because of limit of our country. you know ,in china, we visit some websites abroad like facebook is limited)
au tunaweza kuwa rafikipepe kwa email .
 
Hakuna mwanafunzi wa kiswahili wa miezi sita anaweza andika kiswahili fasaha hivi, sio hapa wala wapi. Huyu mwongooooooo kabisa.
 
bwana andy, mimi nina mwalimu mmoja wa kiswahili. sikiandiki nitamuuliza mwalimu yangu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom