Natafuta ajira | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta ajira

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Zakayophillyx, Sep 8, 2012.

 1. Zakayophillyx

  Zakayophillyx Member

  #1
  Sep 8, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 23
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Jamani mi natafuta ajira mwenye nayo aniajili.
   
 2. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #2
  Sep 8, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Nenda makao makuu ya chadema wanaajiri vijana wa kutumika kwenye maandamano
   
 3. Vegetarian

  Vegetarian JF-Expert Member

  #3
  Sep 8, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 607
  Likes Received: 274
  Trophy Points: 80
  Mkubwa ni vyema ungeweka wazi japo elimu yako,ujuzi/uzoefu wako ili wadau waweze kujuwa jinsi ya kukusaidia.
   
 4. Vegetarian

  Vegetarian JF-Expert Member

  #4
  Sep 8, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 607
  Likes Received: 274
  Trophy Points: 80
  Mkubwa ni vyema ungeweka wazi japo elimu yako,ujuzi/uzoefu wako ili wadau waweze kujuwa jinsi ya kukusaidia.
   
 5. H

  HIPSON Member

  #5
  Sep 9, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama una taaluma ya audio recording. Studio platnum Mafinga Iringa, studio mpya na ya kisasa inatafuta producer apply. namba ya simu 0754865777 au tigo ya 0655 namba hiyo hiyo. karibu
   
Loading...