Natafuta ajira

Natafuta ajira

Joined
Nov 19, 2020
Posts
5
Reaction score
27
Habari wana member wa Jamii forum..kwa majina naitwa Collins George kutokea dar-es-salaam nimemaliza chuo mwez huu wa 7 nikisomea Bachelor in Information Technology (BIT).

Sijawa muhitim complete kwa kua nasubili matokeo yangu ya mwisho ili nipokee chety...kwa kipindi ichi nnachosubil kupokea chety naomba msaada wenu kaka, dada, baba, mama zangu naomba kupata nafasi yoyote ya kazi ili niweze kujikim na kuendesha maisha yangu kwa yeyoteatakae weza kunisaidia kwa namna yoyote basi nitashukuru.
 
Unajua kufundisha Kemia na Baolojia wewe?
 
Mkuu, ukiweza kuandika kiswahili fasaha itapendeza zaidi. Vitu vidogo kama hivyo vinaweza kukupeleka mbali.
 
Ifike wakati tukubaliane wakuu, hali ya ajira nchini ni mbaya sana.

Halafu graduates wengi wana stress kichiz. Matusi nje nje + ushabiki maandazi!!

badala vijana tupambanie hali zetu binafsi tunaendekeza ushabiki maandazi!!!!!
 
Pia ukweli muambiwe...kuna watu kabla hata hajaanza chuo hiyo degree hajawahi tafutwa mtu na wewe kwa kutojua ynaenda somea. Zipo degree za kufuta maana zinatujazia wasomi wasiohitajika.
Form 6 fanyeni utafiti kabla ya kuomba course...

Sent from my SM-N986B using JamiiForums mobile app
 
Karibuni Kalynda e-commerce tutengeneze commission pamoja mtandaoni,, kwa mtaji wa 20,000 mpaka 200,000 kwa wanaoanza utakuwezesha kupata commission yako ya sh.800 mpaka 8,000 kwa siku..Vitendea kazi ni simu yako na bando lako popote ulipo Tanzania..Mwenye uhitaji nicheki WhatsApp 0657940974 nikupe link..mwenye uhitaji wa kujua zaidi tembelea ofc za Kalynda PSSSF Tower 30th floor karibu na TRA HQ maeneo ya Stesheni..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom