Natafuta ajira za Uarabuni

Natafuta ajira za Uarabuni

Wewe ni Mwanaume profile pic umeweka ya mwanamke, unatafuta kazi na husemi kazi gani,

Mwanaume unakuaje muoga muoga hivyo utaweza kweli mikiki ya ughaibuni???
Kaz yoyote km ni kwenye maduka security
 
Nina mifano ya wanawake watatu( sio stori za kuambiwa) jirani zangu ktk nyakati tofauti wameenda Oman kila mmoja aliporudi alinunua kiwanja na kujenga nyumba na ada za watoto. Mmoja wao niliongea naye mwaka jana wakati wa Corona Safari zilizuiwa akitaka kurudi alikuwa ana sikitika sana kwani ana watoto wanasoma Private schools anawalipia ada kwa kazi hiyo hiyo.

Kule Mfanya kazi wa Ndani analipwa sawa na graduate wa Degree wa Bongo pengine hata kumzidi
Wengi sana wanaishi vizuri, namjua pia mdada alikua anafanya kazi huko Omani aliweza kuwajengea nyumba nzuri wazazi wake, akasomesha wadogo zake, akajenga nyumba zake mbili na biashara juu,
Mara ya mwisho nilisikia ameacha kazi anashughulika na biashara zake,

Oman rial 1 ni sawa na elfu 6 na chenchi chenchi za kibongo, mtu yupo ugenini pesa lazima asave,

Watanzania ni waoga sana kutoka nchini kwao yaani ni kutishana tishana tu huku wanalalamika maisha magumu.
 
Nikweli kabisa. Tena akiwa mwanamke mwenye akili zake sio hawa walioshindwa kila kitu kwao. Hao wanaoenda wanalalamika eti wanaonea ni wale walioshindikana hata hapa hapa nyimbani tz
 
Upo sahihi kabisa, wakifika huko wanapeleka ukahaba na wizi ugenini, mwisho ni kurushwa ghorofani tu,
Lakini kama Mtu anaenda na lengo moja la kufanya kazi yake ili ajikwamue na Umaskini, atajikuta malengo yanafika tena kwa haraka sana.
 
Hope umeaga ndugu zako kabisa..waarabu ni mashetani..jiandae kwa yote.

#MaendeleoHayanaChama
Mwambie aende South Africa kwa waafrika wenzake na wewe endelea tu kutafuna muhogo hapo chini ya mti huku ukisubiri buku toka kwa shemeji yako atakapo rudi kutoka kazini,usisahau na kusafisha banda la Kuku.
 
Habari,

Mimi naomba kama kuna mtu humu anaweza kupata nafasi za kazi nchi za uarabuni natafuta hizo nafasi
Kazi zipo sema ww ni Me, ngumu kupata. Za ndani zipo nyingi ila ke ndo anapata, na kupitia wakala hapa nchini na kule.
 
Atafuta kazi yoyote
 
Attachments

  • 20221111_154511.jpg
    20221111_154511.jpg
    1 MB · Views: 19
Mnataka kwenda kufa huko uarabuni,mwarabu sio mtu wa kukaa nae karibu ,wana mambo ya ovyo sana hasa kwa ngozi nyeusi hizi
 
Wengi sana wanaishi vizuri, namjua pia mdada alikua anafanya kazi huko Omani aliweza kuwajengea nyumba nzuri wazazi wake, akasomesha wadogo zake, akajenga nyumba zake mbili na biashara juu,
Mara ya mwisho nilisikia ameacha kazi anashughulika na biashara zake,

Oman rial 1 ni sawa na elfu 6 na chenchi chenchi za kibongo, mtu yupo ugenini pesa lazima asave,

Watanzania ni waoga sana kutoka nchini kwao yaani ni kutishana tishana tu huku wanalalamika maisha magumu.
Ni kweli waoga maana unakuta mtu anaishi nyumbani kwa wazee wake na hajawai kutoka ata n'nje ya mkoa wake lakini unakuta yeye ndie mtaalam wa kutoa ushauri kwa wapambanaji wa kweli katika ili life
 
Wengi sana wanaishi vizuri, namjua pia mdada alikua anafanya kazi huko Omani aliweza kuwajengea nyumba nzuri wazazi wake, akasomesha wadogo zake, akajenga nyumba zake mbili na biashara juu,
Mara ya mwisho nilisikia ameacha kazi anashughulika na biashara zake,

Oman rial 1 ni sawa na elfu 6 na chenchi chenchi za kibongo, mtu yupo ugenini pesa lazima asave,

Watanzania ni waoga sana kutoka nchini kwao yaani ni kutishana tishana tu huku wanalalamika maisha magumu.
watanzania sio waoga ila ni watu wanaopenda mtelezo,
kuletewa info , watu wanataka kwenda ughaibuni lakini
hawajui waanzie wapi, wanataka mtu awaganyie kila kitu.

ndio maana wanaibiwa sana

huyu jamaa anajiita IBM kaja bongo kawapiga pesa ili awasaidie kuapply lottery ya kwenda marekani.

lottery una apply kwenye simu yako hata dk 5 humalizi
yeye anawalipisha 20k
Screenshot_20221130-161725_Telegram.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom