Natafuta ajira za Uarabuni

Natafuta ajira za Uarabuni

Rahili

New Member
Joined
May 23, 2022
Posts
4
Reaction score
0
Habari,

Mimi naomba kama kuna mtu humu anaweza kupata nafasi za kazi nchi za uarabuni natafuta hizo nafasi
 
Hope umeaga ndugu zako kabisa..waarabu ni mashetani..jiandae kwa yote.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kuna mmoja niliona analishwa kinyesi cha kiarabu achana na like dume lilikuwa linakata mauno mbele ya waarabu
 
Habari,

Mimi naomba kama kuna mtu humu anaweza kupata nafasi za kazi nchi za uarabuni natafuta hizo nafasi
Dada nakushauri baki hapa hapa au nenda sehemu yoyote ila iwe ni Africa our motherland, huko unakotaka ni makatiri mpaka shetani anaogopa binafsi nikiona Dada zangu mnapanda chopa kwenda huko moyo wangu unakuwa mweusi nakosa Amani kabisa
 
Kwanini usiwe hausigelo tu hapa hapa nchi ya Amani,ukatafuta mtu mwenye kauchumi kalikosimama akakulipa tu vizuri kuliko kwenda huko ukanyanyaswe!!!!
 
Mm ni mwanaume
 
Al habibi mimi pia ni muarabu naishi hapa mjini kwenye biashara za ukoo vipi unahitaji nikuajiri
 
Kwanini usiwe hausigelo tu hapa hapa nchi ya Amani,ukatafuta mtu mwenye kauchumi kalikosimama akakulipa tu vizuri kuliko kwenda huko ukanyanyaswe!!!!
Kwa Tanzania ipi inaweza kumlipa mdada wa kazi salary ya laki tano??
Akatafutie wapi huyo mwenye uchumi wa kusimama zaidi tu akaangukie kwa hao hao waarabu koko wampe laki moja lakini kamasi zimtoke.
 
Huyo mwenye kauchumi kalikosimama na analipa vizuri ndio shida kumpata.
 
Kwa Tanzania ipi inaweza kumlipa mdada wa kazi salary ya laki tano??
Akatafutie wapi huyo mwenye uchumi wa kusimama zaidi tu akaangukie kwa hao hao waarabu koko wampe laki moja lakini kamasi zimtoke.
Watu wanaongea vitu mpaka unawashangaa wako kwenye sayari gani. Sijui ni kushiba sana au hawa ni wale wa kulelewa kwa Kaka au Mjomba??
Nimemshangaa sana.
 
Labda alikua hajui mishahara ya wadada wa kazi huko Arabuni akadhani wanalipwa elfu 40 kama wanavyowalipa wao na masimango juu,

Juzi tu Mtu kaanzisha uzi sijui alimpa nguo nzuri mdada wa kazi lakini haithamini anaivaa kila siku, hapo unajiuliza kama nguo imeanzishiwa uzi je maisha ya kila siku kama chakula, malazi na matibabu huyo mdada si anakoma.
 
Nina mifano ya wanawake watatu( sio stori za kuambiwa) jirani zangu ktk nyakati tofauti wameenda Oman kila mmoja aliporudi alinunua kiwanja na kujenga nyumba na ada za watoto. Mmoja wao niliongea naye mwaka jana wakati wa Corona Safari zilizuiwa akitaka kurudi alikuwa ana sikitika sana kwani ana watoto wanasoma Private schools anawalipia ada kwa kazi hiyo hiyo.

Kule Mfanya kazi wa Ndani analipwa sawa na graduate wa Degree wa Bongo pengine hata kumzidi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom