E El maestro10 Member Joined Dec 7, 2022 Posts 32 Reaction score 58 Dec 7, 2022 #1 Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 natafuta kazi iwe kwenye taaluma yangu au nje ya taaluma yangu nimehitimu diploma ya uhasibu na nina uzoefu kama cashier kwa miaka mitatu na kuuza duka Napatikana Dar es Salaam Asante
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 natafuta kazi iwe kwenye taaluma yangu au nje ya taaluma yangu nimehitimu diploma ya uhasibu na nina uzoefu kama cashier kwa miaka mitatu na kuuza duka Napatikana Dar es Salaam Asante
Risk manager JF-Expert Member Joined Mar 21, 2014 Posts 8,807 Reaction score 17,360 Dec 7, 2022 #2 Aisee Mungu akusaidie
Mzee Wa Republican JF-Expert Member Joined Jul 20, 2013 Posts 1,671 Reaction score 851 Mar 23, 2023 #3 Mungu akujalie
Mzee Wa Republican JF-Expert Member Joined Jul 20, 2013 Posts 1,671 Reaction score 851 Apr 11, 2023 #4 Umeshafanikiwa ? Hebu weka mrejesho hapa tuangalie la kufanya