Natafuta Ajira ya Muda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta Ajira ya Muda

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Msafiri Kasian, Jan 22, 2012.

 1. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #1
  Jan 22, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Wana Jf,mimi ni miongoni mwa wale waliokosa mikopo ya kujiunga na elimu ya juu mwaka jana. Nilipangiwa chuo lakini sikupata mkopo,na kutokana na uwezo mdogo wa wazazi sikufanikiwa kujiunga na chuo.Naomba mwenye NGO yake au anayejua yeyote ambayo nitaweza kupata ajira ya muda anisaidie,hata kama ni government organization sawa tu.Pia kama mtu anafahamu shule ya O-level ambayo naweza kupata nafasi ya kufundisha masomo ya Mathematics na Geography nitafurahi pia. Ninashida kweli na sio utani,mwenye kuweza kunisaidia anisaidie,Asante. Nipo Arusha.
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Jan 22, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Matokeo yako ni yapi?
   
 3. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #3
  Jan 22, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Nilikuwa na div 2 point 20 O-level na div 3 point 16 A-level katika comb. Ya EGM.
   
 4. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #4
  Jan 22, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  unamuuliza mwanafunzi mwenzio matokeo ili ufanyeje?. senetor acha utani mtu anapokuwa serious.
   
 5. m

  mikumi Member

  #5
  Jan 22, 2012
  Joined: Jan 22, 2012
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kaka pole sana -, nakushauri tafuta shule za kata hapo karibu na unapokaa umuombe mwalimu mkuu atakusaidia kwa malipo kidogo anao huu uwezo.
   
 6. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #6
  Jan 22, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Pole sana mkuu ila usife moyo nikuhangaika tu na kumwomba Mungu atakufungulia njia ya Ajira na kazi pia. Pia iwe fundisho kwetu waTZ 2015 tusidanganyike na tshirt, kanga, kofia na pilao bali tufanye uamuzi tusiokuja kuujutia na kusababisha tatizo hili kubwa la ajira
   
 7. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #7
  Jan 22, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  pengne nina ndugu yangu mwenye shule ambapo naweza kumsaidia kupata tempo.
   
 8. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #8
  Jan 22, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  ntakupM baadae.
   
 9. K

  Kubingwa JF-Expert Member

  #9
  Jan 22, 2012
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 502
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Apply jeshi la polisi au la wananchi watakapo toa nafasi zao muda si mrefu,vumilia.
   
 10. M

  MWL. MSHUDA New Member

  #10
  Jan 22, 2012
  Joined: Jan 22, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ungejiunga na diploma ya ualimu.
   
 11. M

  MWL. MSHUDA New Member

  #11
  Jan 22, 2012
  Joined: Jan 22, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ungejiunga na diploma ya ualimu.
   
 12. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #12
  Jan 22, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Wa Tanzania bado hawana jeuri dhidi ya tshirt,vilemba nk.Nasubiri uchaguzi ujao kule Arumeru Mashariki
  Ccm wakishinda tena nasepa zangu abroad na kuzikwa itakuwa kulekule kama Balali.
   
 13. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #13
  Jan 22, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Kwa JWtz level yake ya form six jana tar21 ndio walikua wanahakikiwa Monduli baada ya JKT Orjoro juzi tar20 kuhitimu kwa hyo amechelewa kwa sasa,anaejua tofauti na hapa aseme
   
 14. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #14
  Jan 23, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Nilichelewa kuaply kwa sababu nilitegemea kupata mkopo! Ila mwaka huu ntafanya hvyo.
   
 15. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #15
  Jan 23, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Mambo mengine ni WITO,hayo mambo ya polisi sidhani kama nitaweza,ni bora ualimu kwangu.
   
 16. tobycow

  tobycow Senior Member

  #16
  Jan 23, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kaka njoo dodoma machuo kibao ushindwe wewe 2.
   
 17. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #17
  Jan 23, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 2,472
  Trophy Points: 280
  pole sana tempo zinasaidi ili mwaka huu uende diploma.
   
 18. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #18
  Jan 23, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  TANAPA wametangaza nafasi za kazi, kama upo Arusha jaribu kucheck nao hata kama utapata Office Attendant, hela yao ni ndefu kuliko ya mabosi uchwara mtaani!!
   
 19. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #19
  Jan 23, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  Mkuu senator kashaku Pm? Mkande hadi kieleweke. asikuchezee akili bana. senator eeh msaidie mshikaji kama uwezekano upo.
   
 20. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #20
  Jan 23, 2012
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 5,985
  Likes Received: 20,380
  Trophy Points: 280
  Hapa anaweza kuapata ajira ya muda kweli??!!! :shock:au ...............................
   
Loading...