syllae
JF-Expert Member
- May 29, 2015
- 1,793
- 1,922
Dah mbona unatuuwa mkuumechanical engineering kama hauna GPA kuanzia ya 4,nenda kwenye viwanda vya wahindi,kama inaanzia 4 tembelea migodini hasa shinyanga utapata mshahara Wa kufuru
Ina maan sisi wenye GPA ndogo tusahau kazi nzuri?