ibramy
JF-Expert Member
- Jul 23, 2019
- 641
- 968
Nenda shirika la reli TRC omba ata kujitolea mkuu... And off the day wanaweza kukuajiari kama unataka ajira za magu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Jaribu link mpya hiiMbona telegram aikubali na mm nahitaji Nina degree ya uhandisi magari(automobile engineering)
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mawili eitjer huna GPA kubwa au unawaonea wivu wenye GPA kubwa.
Ivi injinia anaweza ku design bila kujua theory?
Kwa wewe unaweza ukaanzia kwenye gereji za mitaani uku ukiangalia na sehemu nyingine
Wewe unadhani nazungumzia ipi?
Kuna msururu wa watu wengi wana GPA za above 3.5 ila kwenye module za kudesign wana makalai tu.
Ivi injinia anaweza ku design bila kujua theory?
Mkuu kama unaweza saidia vijana, naomba uwasaidie kiukweli kada ya uhandisi imekuwa ngumu sana kwa sasa mtu kupata ajira tofauti na namna watu wengi wanavyofikiri.Mkuu umesajiliwa na bodi (ERB) ? Kama umesajiliwa Basi tuma CV zako, michael@metatronlift.co.tz
0714434190
Sent using Jamii Forums mobile app
Msingi wa Design upo kwenye michoro. Unaweza kuwa na theory zako lakini kuchora ni kilaza.Wewe unadhani nazungumzia ipi?
Unauliza design ipi nazungumzia alafu muda huo huo unasema "module za kudesign wana makarai", mbona hueleweki?
SWALI LANGU LINABAKI PALE PALE...
Sasa utachoraje kama hujui theory? utachora nini kama hujui ku design?Msingi wa Design upo kwenye michoro. Unaweza kuwa na theory zako lakini kuchora ni kilaza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa utachoraje kama hujui theory? utachora nini kama hujui ku design?
Mkuu tofauti kati ya MHANDISI na FUNDI MCHUNDO (Technician) ni hii...
-Mhandisi anajua "why" fundimchundo anajua "how"!
-Mhandisi ana analytical skills na fundi mchundo yeye anajua kuunda!
Simaanishi MHANDISI asijue kuunda NO! Namaanisha huwezi kuwa MHANDISI kama hujui "theory behand" kama huna "analytical skills", kama hujui theory ("why") wewe sio MHANDISI wewe ni TECHNICIAN!
Mfano kwa mechanical engineer, ukiambiwa shaft iwe na 100mm Dia. basi uwe na sababu pamoja references za kwanini hiyo shaft imekua 100mm Dia. na sio 80mm Dia.!
Au kwa civil engineer anaposema hapa tuweke nondo za 10mm basi lazima awe na sababu na sio anakisia tu!
Na hii huwezi kujua kama huna "theory" kichwani!
Design (Theory na analytical skills) ndio inamtofautisha MHANDISI na FUNDI MCHUNDO!
Umeelewa sasa?
wachache sana watakuelewa hapa,-Mhandisi anajua "why" fundimchundo anajua "how"!
Vipi mtu akijua theory bila practical?wachache sana watakuelewa hapa,
i hate mtu akijua practical bila theory, theory ni msingi wa practical nzuri
uyu mwenye ( practical ) ukimuuliza kwanini hii inafanywa ivi, anakujibu mimi sijui,
mf: kwanini hapa unatumia waya wa size flani, anakwambia sijui hua ndio tunafanya ivyo !
ile 'design' iki twistiwa kidogo tu tayari ameshatoka mstarini, cuz hana msingi wa Theory
mwenye Theory ( bila practical ) rahisi sana ku catch up na 'praktikal' ,
a. atajua nini anafanya,
b. atafanya kwa vipimo sahihi
c. na nini afanye (nini abadili) ikitokea design ipo twisted ( versatility )
Jibu umepewa hapa... Rudia kusoma uelewe.
mwenye Theory ( bila practical ) rahisi sana ku catch up na 'praktikal' ,
a. atajua nini anafanya,
b. atafanya kwa vipimo sahihi
c. na nini afanye (nini abadili) ikitokea design ipo twisted ( versatility )
GPA ya 4 unafikiri ni degree ya tourism au human resources.mechanical engineering kama hauna GPA kuanzia ya 4,nenda kwenye viwanda vya wahindi,kama inaanzia 4 tembelea migodini hasa shinyanga utapata mshahara Wa kufuru
Fundi Mchundo sio Technician huyo ni Electrician mwenye VETA unaposema Technician ni Fundi Sanifu Diploma na level yake na mhandisi hawajaachana kiivo katika designing and analysis waajiri wengi huwapenda zaidi mafundi sanifu (Technician) Kuliko wahandisi na ukikuta mhandisi kapitia ufundi sanifu basi anakuwa superbly kwa nchi yetu saivi workforce ndio inahitajika zaidiSasa utachoraje kama hujui theory? utachora nini kama hujui ku design?
Mkuu tofauti kati ya MHANDISI na FUNDI MCHUNDO (Technician) ni hii...
-Mhandisi anajua "why" fundimchundo anajua "how"!
-Mhandisi ana analytical skills na fundi mchundo yeye anajua kuunda!
Simaanishi MHANDISI asijue kuunda NO! Namaanisha huwezi kuwa MHANDISI kama hujui "theory behand" kama huna "analytical skills", kama hujui theory ("why") wewe sio MHANDISI wewe ni TECHNICIAN!
Mfano kwa mechanical engineer, ukiambiwa shaft iwe na 100mm Dia. basi uwe na sababu pamoja references za kwanini hiyo shaft imekua 100mm Dia. na sio 80mm Dia.!
Au kwa civil engineer anaposema hapa tuweke nondo za 10mm basi lazima awe na sababu na sio anakisia tu!
Na hii huwezi kujua kama huna "theory" kichwani!
Design (Theory na analytical skills) ndio inamtofautisha MHANDISI na FUNDI MCHUNDO!
Umeelewa sasa?
Acha kumshauri uongo jamaa, mgodini kuna mechanics wapo moto na wamepiga kozi zao vetakama inaanzia 4 tembelea migodini hasa shinyanga utapata mshahara Wa kufuru
mechanical engineering kama hauna GPA kuanzia ya 4,nenda kwenye viwanda vya wahindi,kama inaanzia 4 tembelea migodini hasa shinyanga utapata mshahara Wa kufuru
Tumeunda group letu la WhatsApp kwa wanaotafuta kazi,nakuwekea link hapa chini ujiunge.
![]()