Natafuta ajira Nina degree ya mechanical engineering

Natafuta ajira Nina degree ya mechanical engineering

Fenuchi

Senior Member
Joined
May 5, 2019
Posts
116
Reaction score
38
Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 26 natafuta kazi Nina elimu ya mechanical engineering level ya degree
Napatikana dar es salaam kwa sasa
0656 548919
 
Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 26 natafuta kazi Nina elimu ya mechanical engineering level ya degree
Ushauri tu kama hutajali wasiliana na jamaa yule anaitwa Yeriko Nyerere anaweza kukupa msaada naamini mshkaj ana conection kubwa ya masuala hayo.
 
Ushauri tu kama hutajali wasiliana na jamaa yule anaitwa Yeriko Nyerere anaweza kukupa msaada naamini mshkaj ana conection kubwa ya masuala hayo.
Yericko nyerere ndo yupi mkuu sijamfahamu bado
 
mechanical engineering kama hauna GPA kuanzia ya 4,nenda kwenye viwanda vya wahindi,kama inaanzia 4 tembelea migodini hasa shinyanga utapata mshahara Wa kufuru
 
mechanical engineering kama hauna GPA kuanzia ya 4,nenda kwenye viwanda vya wahindi,kama inaanzia 4 tembelea migodini hasa shinyanga utapata mshahara Wa kufuru
Usimvunje moyo mwenzako.
GPA na kazi ni vitu viwili tofauti.
GPA kubwa umuhim wake labda Kama unataka ukawe mwalimu.
Kwenye manufacturing industries wanachohitaji ni practical works na wala hawataki theories zako ulizomeza kwenye vitini ili upate GPA kubwa.
 
Naunga mkono hoja
 
ndugu yangu fungua wigo zaidi,hiyo shahada uliyokuwa nayo ni asset nzuri,jaribu kuangalia nje ya nchi,google kuhusu NZ,far east,Namibia ,SA maana wenye shahada hii inakuwa rahisi kupata permit ya kuishi na kufanya kazi hii ni special skill degree!!!,usiangalie ndani ya nchi yetu tu fungua macho zaidi
 
Nenda migodini unaweza ukabahatika sema uwe na refa au utoe kitu upate kitu jaribu kahama,Geita,kakola mungu atakusaidia naamini ukipata Kazi mgodini utasahau shida wanatoa mishahara minono.

Nimesikia ule mgodi wa kahama uliofungwa wanakaribia kuanza kuajiri hivi karibuni kuna jamaa alikuwa dereva wa mgodi ndio katupea hii taarifa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom