Natafuta ajira nimesomea Clinical Medicine

THT

JF-Expert Member
Jul 25, 2016
737
869
Habari mm ni msichana wa miaka 23, nina certificate ya clinical medicine. Nipo Moshi. Ninatafuta kazi yeyote ile ya halali iwe ya fani yangu au isiwe ya fani yangu.

Ukihitaji taarifa zaidi na maswali, karibu PM.

Samahani uandishi wangu si mzuri tuvumiliane wapendwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah nakuonea sana huruma. Napiga picha kila ninayemuona anataka ajira anavyohangaika.
Kuna mbweha watakuja kuona kama hii ni fursa ya kufanya ujinga wao.

Kila la heri mi sina uwezo wa kusaidia.
 
Habari mm ni msichana wa miaka 23, nina certificate ya clinical medicine. Nipo Moshi. Ninatafuta kazi yeyote ile ya halali iwe ya fani yangu au isiwe ya fani yangu.

Ukihitaji taarifa zaidi na maswali, karibu PM.

Samahani uandishi wangu si mzuri tuvumiliane wapendwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu akusimamie,Ushauri wangu ungejitahidi kuomba hata kwenye zahanati za private uombe kujitolea bila malipo
 
  • Thanks
Reactions: THT
Back
Top Bottom