Natafuta ajira, nimesoma Shahada ya Ualimu

Natafuta ajira, nimesoma Shahada ya Ualimu

Tegeyeko

New Member
Joined
Jun 28, 2021
Posts
2
Reaction score
2
Habari wadau,

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30, naishi Dar es salam, Wazo, Salasala.

Ninashahada ya ualimu wa masomo ya Geography na English, pia naweza kutumia compyuta japo sio sana.

Natafuta kazi itakayoniwezesha kujikimu kimaisha. Sio lazima iwe ya kitaaluma, niko tayari kujifunza.

Hata kama kazi ni ya kiwandani kama unaweza kuniunganisha, nitashukuru sana.

Kwa mawasiliano: 0689336045
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom