Natafuta ajira, nimehitimu Diploma ya Maendeleo ya Jamii

naturesolve

Member
Jul 21, 2022
23
18
Mimi ni kijana wa umri Miaka 29, nimehitimu elimu kwa ngazi ya diploma ya maendeleo ya jamii nimetafuta ajira kwa muda mrefu tangu mwaka 2017 mpaka leo bila mafinikio yeyote.

Nimejitokeza kwenu kwa Wana jamiiforums, naamini watu hatulingani kiuwezo ama kifikira mtu yeyote yule anayowezaa kunisaidia connection ya ajira anisaidie jamani ninaamini uwezo wangu katika utendaji wa kazi kotokana na ujuzi wangu nilioupata msaada wenu.

Number zangu za simu ni 0782519947
 
Back
Top Bottom