Natafuta ajira English Medium Schools

Natafuta ajira English Medium Schools

Abel james

Senior Member
Joined
Jun 12, 2014
Posts
103
Reaction score
8
Naitwa abel kikimba,umri wangu ni miaka 26,elimu yangu ni form six na vyeti vyangu ni vizuri kabisa ,nimeshindwa kuendelea na elimu ya juu kwa kukosa pesa na msaada,hivyo nawasilisha ombi la kazi ya ualimu kwenu,kwa masomo ya english,history,pia sayansi,uwezo wangu ni mzuri katika kufundisha na ninafundisha na kuongea kiingeleza vizuri sana kwan mwaka jana nilifundisha ihowanza sekondari kama mwalimu wa kujitolea kwa masomo hayo ,nipo tayali kufanya kazi mazingira yoyote na kwa kiasi chochote cha mshahara kinakidhi malengo ,nipo tayali kufanya kazi na nina juhudi ya kazi,nitashukuru endapo mtanisaidia kufikia ndoto zangu kwan ninapenda kusoma,tuwasiliane kupitia 0763175935
 
Mkuu pole Sana...

waone Teachers junction au imma.one watakusaidia Sana au tafuta post yao humu wanahitaji walimu ningekua natumia PC ningeatach link
 
Last edited by a moderator:

upo wapi?
 
yes mr. kikimba nimeona request yako lakini najaribu kukupigia hupatikani this is teachers' junction tupo kwa lengo la kukusaidia please call us kwa namba alokupa Lususngo.
kwa hapo kwa upande wetu tutakupa post ya english kwenye english medium school.
thanks we are waiting to hear from you.
 
Mkuu kuna ndugu yangu amesoma diploma ya ualimu lakini kwa bahati mbaya alofeli somo moja. Vp anaweza pata msaada wa kupata nafasi ya kufundisha?
 
Piga o714782775 al-jazira english medium mbinga ruvuma au tuma barua kwa meneja wa shule p.o.box 406 mbinga ruvuma...fanya hivo kama unania kweliii
 
Kingine acha kuomba kazi au msaada kwa kulalamika sana watu wanaweza kutumia udhaifu wako Wa kuhitaji Kazi kwa masilahi yao be strong and trust yourself
 
Mkuu pole Sana...

waone Teachers junction au imma.one watakusaidia Sana au tafuta post yao humu wanahitaji walimu ningekua natumia PC ningeatach link

Teachers' junction ni matapeli siku hizi mkuu kama unabisha nilete evidence
 
Last edited by a moderator:
Teachers' junction ni matapeli siku hizi mkuu kama unabisha nilete evidence[/QUOTE]
Duh
 
Back
Top Bottom