Natafuta a serious wife to be

Natafuta a serious wife to be

MARCO JOHN

Member
Joined
Jun 1, 2012
Posts
96
Reaction score
35
Heshima kwenu wanajamvi,

Labda nianze kwa kusema yamenifika hapaa! Mimi ni graduate wa moja ya business related courses katika moja ya vyuo hapa nchini.Nimewahi kuwa na girlfriend wakati wangu wa chuo ila Drama zilinishinda and i decided to be single and the plan was successful.

Ila sasa nahisi ni muda mwafaka wa kuwa na a serious person to investigate and prepare her to be a good wife siku za mbeleni.Am now asking any body

Who is ready for it hapa jamvini ani PM tuyazungumze

Sifa zangu;
- Mrefu more than 6ft
- Average body
- Cool
- I also would advice the girl to be mrefu kiasi

Asanteni sana
 
😊😊 kila la kheri mkuu ngoja waje
 
hawa vijana wa siku hizi wamekua madomo zege, wanapenda miteremko na u marioo, ndo maana kizazi hiki wakina nuh mziwanda ni wengi sana, u misingi kiuno ndo wanaoujua! any way kutu inaendelea kuwatafuna hawa vijana mpaka vibofu vitaziba.
 
Mmnmmmmmh hata wachuo, mtaani, kanisan kwenye daladala umekosa jaman mmmh ila pole utapata
 
Siwezi kubeza mawazo yenu
I still have faith mwenye nia ani PM tafadhali
 
Mmnmmmmmh hata wachuo, mtaani, kanisan kwenye daladala umekosa jaman mmmh ila pole utapata
Mke mwema anapatikana sehemu yoyote hata hapa jf wapo..... kama upo single changamkia fulsa hiyo huenda ndiyo akawa mme bora kwako.
 
Mmnmmmmmh hata wachuo, mtaani, kanisan kwenye daladala umekosa jaman mmmh ila pole utapata

Agnes, hivi unaona JF ni dunia nyingine???

Hawa walioko hapa ndio wako mavyuoni, mtaani, makanisani na kwenye madaladala.

Kama vipi we mPM MARCO JOHN ujaribu bahati yako.
 
Last edited by a moderator:
Heshima kwenu wanajamvi,

Labda nianze kwa kusema yamenifika hapaa! Mimi ni graduate wa moja ya business related courses katika moja ya vyuo hapa nchini.Nimewahi kuwa na girlfriend wakati wangu wa chuo ila Drama zilinishinda and i decided to be single and the plan was successful.

Ila sasa nahisi ni muda mwafaka wa kuwa na a serious person to investigate and prepare her to be a good wife siku za mbeleni.Am now asking any body

Who is ready for it hapa jamvini ani PM tuyazungumze

Sifa zangu;
- Mrefu more than 6ft
- Average body
- Cool
- I also would advice the girl to be mrefu kiasi

Asanteni sana

AGNES AMEKUULIZA POCHI IMETUNA LAKINI? USITEGEMEE BARABARA IWE KAMA SONI to MOMBO...Mteremko tu!!
 
AGNES AMEKUULIZA POCHI IMETUNA LAKINI? USITEGEMEE BARABARA IWE KAMA SONI to MOMBO...Mteremko tu!!

Mkuu huo mteremko inaonekana huwa ni very steep.....anyway i am serious ila kuna vitu kucheka haizuiliki
 
Hata mie nimeona ngoja nimtafute

ila usimchune kaka wa watu, wallet imenyauka huyo, mpe mahaba for free ungojee fadhila. teh teh teh. wala usimchomeshe mahindi, mpe fasta kitu roho inapenda.
 
mimi nadhani hauna mchumba kwa sababu hujui mbinu!

hebu angalia sifa unazozitaja hapa ni za wewe unapomwangalia mtu unamtathmini vipi? lakini na mwenzako huwa anakutathmini wewe.

fika kwenye kundi la watu useme mwenye kichogo aje hapa utaona hakuna anayeangalia chake bali kila mmoja huanza kuangalia wenzake mwenye kichogo nani. haya unayoyasema ni wewe ukimwangalia unamuonaje na yeye ili afanye maamuzi anataka kukuona wewe una sifa gani.

hivyo kama unaweza weka sifa zako ili wenye kuvutiwa na wewe wajisogeze kwako na wakupe sifa zao ingawa ni ngumu bali inatakiwa umuangalie macho yako yatapeleka taarifa zake kwenye ubongo na ubongo utakupa majibu na umbo unalikubali. hakuna cha mrefu wala mfupi unaweza kuletewa mrefu na mfupi lakini ukaona kwa hao wawili walioko mbele yako mfupi ni bora zaidi.

mimi nakushauri jitangaze wewe kuwa ni single yesi na haujapata mtu wa kumuoa na unatafuta na tafuta jinsi ya kutafuta wasichana wanaotafuta uanzishe mawasiliano nao hapo ndio katika wale utakaokuwa unawasiliana nao ndio ukimuona mwenye sifa ndio u propose na sio kuweka sifa jumla na mwingine atakuja ukimuona kwa mbali unazima na simu kwa disapointment.

Back
Top Bottom