Natafuta 3Hase Motor

Natafuta 3Hase Motor

profesawaaganojipya

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2015
Posts
1,596
Reaction score
3,440
Kwa yeyote mwenye,3phase induction motor,15hp, 720rpm,iwe mpya au used nicheki 0717964524 tufanye biashara,,,nipo dar..
 
kuna mpakistani mmoja kadisign mtambo wa kukaushia mchanga,kwa hiyo speed inabidi iwe ndogo sana,pamoja na speed ya mota kuwa 720/750rpm,bado kuna reduction gears,,madukani nimekosa,pia gerezani/kkoo nimekosa,tafadhali msaada mkuu.
Unataka kuitumia kwa ajil ya nn??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom