profesawaaganojipya
JF-Expert Member
- Apr 21, 2015
- 1,596
- 3,442
- Thread starter
-
- #21
umenipa wazo zuri,la kutumia vfd,ngoja nifanye mchakato,nahisi itanisaidia..Pole mkuu pia hongera. Wenye hobby ya kutengeneza mitambo, hukutana na changamoto nyingi kwenye nchi zetu zinazoendelea. Kama issue ya upatikanaji wa motor imekuwa tight sana, anza kucheza na gear ratios. Tafuta gear box ambayo inatumia motor ya speed kubwa, lakini output yake ni the same na unayotaka kuendeshea machine yako. Nadhani upatikanaji wa gear box siyo issue sana tho sijawahi kuchakura soko. Pia unaweza hata jaribu diff ya gari. Ila the best solution ilikuwa ni kutumia VFD kama alivyosema mdau hapo juu. Unatumia motor yoyote, then unajipimia unachotaka. Lakini hiyo naona ni gharama hasa kwa project zetu hizi za kuelekea uchumi wa kati. Natumaini umenielewa mkuu na nitafurahi ukifanikiwa.
huenda kacopy project direct if ndo first project kwake ni vizuri akatumia BLDC 3face na esc ili aweze record corect rpm itayofanya kazi.vyema kulingana na load. kwa uelewa wangu na majaribio rpm inaweza athiriwa na load na project yake inaload uzito.mkubwa sasa kama rpm kupata motor exactly shughuli ipo labda aumize kichwa katika gear box na iwe automatic sababu ya uzito ukipungua inashift gear uzito ukizid inashift gear haponadhani lengo lake ni ku avoid kutumia ESC(drive, ambazo bei zake zinasimamia kucha) , kwa kupata mota yenye fixed RPM
Piga picha hapo panapoingizwa waya tuone itafahamika kama ni single au three phaseNina motor ya 3 phase tatizo ni kile kibati cha specifiacation kilipigwa rangi so nashindwa kutoa detail zozote zaidi ya kujuwa ni motor ya 3 phase na ilikuwa ina tumika kwenye site kama vibrator machine.
Dah...kwa teknolojia ya sasa inayokazania maximum power density...yaani power/volume iwe kubwa iwezekanavyo.. kupata motor ya 15Hp yenye 720rpm sio rahisi...ili usipoteze muda tafuta motor yenye 15Hp, 1500rpm kisha tafuta VFD made in Tz tujenge nchi[emoji41]NATAFUTA ,3PHASE INDUCTION MOTOR, 15HP, 720 rpm,,mwenye nayo nicheki 0717964524,iwe mpya au used sawa tu..nipo dar.
Alternator ya gari ni 3ph!!. Au mimi ndo sijaelewa??nimekupata mkuu na project yako naona mmetumia baadhi ya vyumq vya magari. tafuta katika magari kuna motor.inayotumika kuchaji.betry. iyo.motor ni 3face na ina power kubwa. pia utanunua kifaa kidogo sana kinaitwa. ESC (electronic SPEED CONTROL ) KINAUZA 5$ ALIEXPRESS THEN UTAFUNGA VARIABLE RESISTOR.AMBAYO UTAAJUST SPEED ILE UNATAKA WEWE system power ni 1vl
Yes ni.3phase BRUSHLESS MOTOR JAPO WE HUENDA HUENDA UNAONA INA WAYA NYINGI PALE KUNA ZA INPUT.NA OUTPUT OUTPUT NI ZA KUCHAJIA BETRY NA KUWASHA MFUMO MZIMA WA TAA GARI ETC NDIO MAANA IKITOLEWA BETRY UTAONA GARI.BADO IPO. ON TAA ZINAFANYA KAZI N.K HIYO NDIO KAZI YAKE LAKINI UNAWEZA Zlisha.umeme wa majumbani ikizungushwa na upepo.au maji with.gear to.regulat voltage.kwani.ikizunguka zaidi no.voltage zinapanda.zaidi cheki wind turbine.zinazofanywa.na waafricaAlternator ya gari ni 3ph!!. Au mimi ndo sijaelewa??
kuongezea tu NDIOAlternator ya gari ni 3ph!!.
hatari sana,ushauri mwingine unawezajistukia tu ni mwendawazimu,unaanza kuokota makopo...Duh mafund mpo wengi na wengine wanashauri kutumia altaneta ya gari bila kujua kaz yake ninin na mota kaziyake nini
mtoa mada anataka mota 15hp 720 rpm hajasema anataka kutumia kwa kazi gan ni steel au force
umenipa wazo zuri,la kutumia vfd,ngoja nifanye mchakato,nahisi itanisaidia..
ok manBoss ukikwama hiyo motor driver nistue naweza jaribu kutanya mpango sehemu napopigia kazi
sie tumezigeuZa altanator ya gari kuwa source ya power Gheto tumeifunga kama wind turbine na battery n200 ambili invetcor ya ya convert dc to ac nadunda tu tanesco walikuja wakijua naiba umeme walipokuta system ilivyo wakasalutkuongezea tu NDIO
alternator ya gari initially inazalisha 3 phase (star connected = L1+L2+L3+N) then kuna electronics (3 phase half-wave rectifier) mle mle ndani ya alternator, ukiifungua ( circuit board yake iko upande wa Non Drive End Cover, utaona diodes kubwa tatu zimeshiba ) , so ikitoka inakua DC tayari ( pulsating DC )