Mkuu wewe unaishi mkoa gani? Kama ni dar basi nenda pale Karume/Machinga Complex, nyoosha na ile barabara inayoelekea Gerezani, huo mtaa hautakosa dashboard.
ndio mkuu nimekosea, ila nimegundua kitu, kuwa viungo vyote vinaweza kufanya kazi lakini lazima macho na ubongo vipewe nafasi ya kuhakiki. nataka kusema niliviamini vidole wakati nafanya tiping kumbe vingenikosesha

mkuu, naona hatanikichanganya herufi kubwa na nDogo utaniuliza, hesabu na kuandika imla haviendani kaka, usishindwe kushangaa wewe jenga picha toa majibu.