Natafuata kazi ya record keeping

abuuh yazeed

Member
Nov 4, 2016
50
14
Habar wakuu. Naombeni msaada kuna mdogo wangu binti wa miaka 23 amemaliza chuo cha utumishi tanga. diploma in record keeping and management. Ana vyeti vyote na sifa zote muhimu za kuajiriwa yupo daresalaam. Yupo tayar kufanya kaz mkoa wowote ndani ya tanzania au hata nje ya tz..
 
Back
Top Bottom