Kama wewe upo serious mbona hujaweka vigezo vyako humu ili na sisi tulio serious tupime na kuona kama unafaa? Hata kama una picha sio mbaya ukaiweka au ukishindwa tupe muonekano kwa maneno tu. Usisahau kutuambia na tabia yako ikoje.
Plus ni heshima pia kujitambua
Angeendelea kuigiza mpaka lini wakat anajua anatamani ndoa au anatamani kua na MTU serious?
Nakuunga mkono #mrsleo tunapaswa kuheshim mawazo ya watu