Natafta kazi ya ziada. Naweza kufanya hata Bure.

Zero Hours

JF-Expert Member
Apr 1, 2011
12,944
18,653
Wakuu mimi ni kijana wa miaka 28.
Nimehitimu Bs in Procurement and Supply chain Management SAUT mwaka 2014.
Nimejiajiri mwenyewe mpaka sasa.

Namiliki mashamba na mabwawa ya samaki.
Nimeajiri vijana 8 katika mashamba yangu.

Natafta kazi ambayo inaweza nikeep buzy at least ya kufanya kwa masaa 5 kwa siku.

Malipo kwangu sio shida. Mi nahitaji kitu chakunikeep buzy katika extra hours zangu.

Kazi nazoweza fanya.

1.Data entry ( niko vizuri kwa IT kuzidi hata wenye degeree za IT)

2.Website designing.
3. Marketing
4. Procurement consultant
5. Farm management and supervision.
6. Practical computer Training.

Kondition. Sehemu ya kazi iwe mwanza tu. Kazi isinichukue zaidi ya masaa matano kwa siku.
 
Me nipo kampuni ya Car tracking gps kama utaweza kututafutia wateja wa huduma hiyo ni pm tuongee vizuri
 
Ww capital unayo kwa nn hy extra time usifungue kitu kingine ambacho utakuwa unafanya ww binafsi bila kuajiri MTU????
 
Back
Top Bottom