DR.RWEYENDERA
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 403
- 386
Habari Zenu Nataka Mwenye Gari Imara Anayeweza Kunikodisha Kwa Siku 20, Kuanzia Tarehe 10 Mwez Wa Kumi Na Mbili Mpaka 30, Aina Iwe Raum, Carina, Ist, Mitsubish, Na Mengne Mazuri, 0718868029
Una hati ya nyumba Kama dhamana? Siwezi kukuachia gari kwa siku 20 bila kuwekea bond nyumba au kiwanja...Nina Mark ii Grande gx100 mpya nimeitoa last week.
Una hati ya nyumba Kama dhamana? Siwezi kukuachia gari kwa siku 20 bila kuwekea bond nyumba au kiwanja...Nina Mark ii Grande gx100 mpya nimeitoa last week.
koh koh koh....gx100 kwa hati ya nyumba!
Uza hiyo gari,kajenge nyumba!
Preta hiyo nilete kesho, pale capital club sekei. Please make it at 10am
Nafikiria hatujamuelewa Savimbi,kwa sie tuliowahi kukodisha tunajua alikuwa na maana ipi licha ya kwamba yeye aliweka kimkato.
Muhim anachogusia yeye ni dhamana,maana gari kumpa mtu kwa kumkodisha sio kitu chepesi saana kama watu wanavyofikiria.Lazima uwe na assurance ya unayempa.Hasa Suala la udhamini,je nini kitasimama kama dhamana,na hii hutegemea gari inakodishwa kwa matumizi gani,maana naona watu wamekimbilia tu kutaja gari zao kwa tamaa ya pesa bila kujua gari inapewa majukum yepi