Natafakari na kutambua CHADEMA imejaa vichwa

nditolo

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2011
Posts
3,802
Reaction score
4,451
Fikiria yaliyokuwa yanawatokea tangu 2016-2020.
1. Viongozi kutemwa
2. Kuvunjwa visikigino
3. Kupigwa risasi
4. Kuwabambikia kesi
5. Mikutano yao kuvamiwa na police ccm
6. Kupotezwa

Sasa najiuliza watu wanaodai Chadema haina ofisi. Ndio haina.

Je hamuoni kuwa kutokuwa na ofisi Ndio likuwa salama yao.

Mimi naamini Chadema wangekurupuka kujenga jengo.

Kwanza
1. Lingelipuliwa au kuchomwa moto kanisa maana yule alikuwa Setani kabisa

2. Hilo wangeenda kuwawekea milipuko halafu viongozi wote wangefungwa

3. Wangewachomea humo humo ofisini.

Hongereni Chadema endeleeni kukijenga Chama ndani ya mioyo ya watu.
 
4.kuwabambikia kesi
5. Mikutano yao kuvamiwa na police ccm
6. Kupotezwa

Sasa najiuliza watu wanaodai chadema haina ofisi. Ndio haina.

Je hamuoni kuwa kutokuwa na ofisi Ndio likuwa salama yao.

Mimi naamini chadema wangekurupuka kujenga jengo.

Kwanza
1. Lingelipuliwa au kuchomwa moto kanisa maana yule alikuwa Setani kabisa

2. Hilo wangeenda kuwawekea milipuko alafu viongozi wote wangefungwa

3. Wangewachomea humo humo ofisini.

Hongereni chadema endeleeni kukijenga Chama ndani ya mioyo ya watu.
Hakika !
 
Fikiria yaliyokuwa yanawatokea tangu 2016-2020.
1. Viongozi kutemwa
2. Kuvunjwa visikigino
3. Kupigwa risasi
4. Kuwabambikia kesi
5. Mikutano yao kuvamiwa na police ccm
6. Kupotezwa

Sasa najiuliza watu wanaodai Chadema haina ofisi. Ndio haina.

Je hamuoni kuwa kutokuwa na ofisi Ndio likuwa salama yao.

Mimi naamini Chadema wangekurupuka kujenga jengo.

Kwanza
1. Lingelipuliwa au kuchomwa moto kanisa maana yule alikuwa Setani kabisa

2. Hilo wangeenda kuwawekea milipuko halafu viongozi wote wangefungwa

3. Wangewachomea humo humo ofisini.

Hongereni Chadema endeleeni kukijenga Chama ndani ya mioyo ya watu.
Nawangoja hapa hapa kwanza.
 
Vichwa sawa, ishu, ndani ya vichwa Kuna nini? Uji wa unga wa muhogo?
 
😅😅😅jamaa umewaza kama jasusi.
 
Mpaka sasa Mbowe ndiyo kaka wa taifa, Dr. SSH ndiye mama wa taifa na Fatma Karume ndiye lishangazi la taifa bila kusahau TAL ndiye mwanasheria wa taifa. Kama unabisha andamana kama babu yako Odinga.
 
Fikiria yaliyokuwa yanawatokea tangu 2016-2020.
1. Viongozi kutemwa
2. Kuvunjwa visikigino
3. Kupigwa risasi
4. Kuwabambikia kesi
5. Mikutano yao kuvamiwa na police ccm
6. Kupotezwa

Sasa najiuliza watu wanaodai Chadema haina ofisi. Ndio haina.

Je hamuoni kuwa kutokuwa na ofisi Ndio likuwa salama yao.

Mimi naamini Chadema wangekurupuka kujenga jengo.

Kwanza
1. Lingelipuliwa au kuchomwa moto kanisa maana yule alikuwa Setani kabisa

2. Hilo wangeenda kuwawekea milipuko halafu viongozi wote wangefungwa

3. Wangewachomea humo humo ofisini.

Hongereni Chadema endeleeni kukijenga Chama ndani ya mioyo ya watu.
Wachaga kwa kupenda hela, hata uwazike wakiwa hai watavumilia tu. Kwahiyo wala siyo vichwa
 
Hilo neno
 
Mbona wakati wa kikwete hazikujenwa na wakati huu wa mheshiwa bibi hawazi jenga ng’o
 
Pumbavu zenu chadema, Kwan chadema imeanzishwa 2015.? Mbona miaka ya nyuma hamkujenga jengo au mlikuwa na kisingizio gani.?
 
Vichwa sawa, ishu, ndani ya vichwa Kuna nini? Uji wa unga wa muhogo?
Dr. Slaa CDM= balozi
Dr. Mashinj CDM = DC
Nassary CDM = DC
Mwita CDM = Mbunge
Na wengine weeeeeng kisha unajifunga kibwaya kama vile hujui
 
Vichwa sawa, ishu, ndani ya vichwa Kuna nini? Uji wa unga wa muhogo?
Wewe ndani ya kichwa chako na moyoni mwako kumefurika uozo unaonuka afadhali ya dampo. Hawa watu waliteswa sana lakini bado hawakukata tamaa na hata hawazumgumzii machungu yaliyopita, wanasonga mbele. CHADEMA asanteni kwa kutoa funzo la aina yake. Mmesamehe yote na mnasonga mbele na kukubali maridhiano.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom