Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 52,127
- 126,116
Eh Msikieni huyu mpuuzi, huyo nassary, slaa na mwita si waliondoka huko ndio wakapata hvy vyeo.? Acha kujitia kidole afu unanusa.Dr. Slaa CDM= balozi
Dr. Mashinj CDM = DC
Nassary CDM = DC
Mwita CDM = Mbunge
Na wengine weeeeeng kisha unajifunga kibwaya kama vile hujui