Natabiri Zitto Zuberi Kabwe kuwa Waziri wa Magufuli

mtwa mkulu

JF-Expert Member
Sep 11, 2013
8,577
11,204
Wakuu heshima kwenu....

Kutokana na umahiri wa huyu Kijana.
Akili kubwa!!!!!

Na kwamba hakuna mtoa hoja zenye uzito kama yeye kwa sasa bungeni.

Nitabiri tu kuwa huu mchezo hata magufuli amekubali... kwa sasa kilicho bakia ni kujiuliza kuwa ampange wizara gani maana kila mahali anamudu.

Naamini kuwa Magufuli haendeshi serikali kimazoea..... natambuwa pia anayo nafasi moja.

Hata kama sio sasa ni baadae lakini naachia utabiri wangu huyu Kijana ni waziri mtarajuwa wa JPM
 
Kigezo cha Magufuli sio saaana upigaji kelele! kwa sababu mtu anaweza kuwa good in upigaji mayowe sana lakini he or she is not a performer and vise versa.
 
Wakuu heshima kwenu....
Kutokana na umahiri wa huyu Kijana....
Akili kubwa!!!!!
Na kwamba hakuna mtoa hoja zenye uzito kama yeye kwa sasa bungeni....
Nitabiri tu kuwa huu mchezo hata magufuli amekubali... kwa sasa kilicho bakia ni kujiuliza kuwa ampange wizara gani maana kila mahali anamudu.
Naamini kuwa Magufuli haendeshi serikali kimazoea..... natambuwa pia anayo nafasi moja.....
Hata kama sio sasa ni baadae lakini naachia utabiri wangu huyu Kijana ni waziri mtarajuwa wa JPM

Kwa hiyo anawazidi wabunge wote kuanzia chamani mpaka UKAWA.
 
...Zitto Kabwe ni mnafiki, mvivu wa kufikiria, mpenda sifa, pia hata rushwa yumo (rejea uchunguzi wa kijasusi wa CHADEMA uliopelekea yeye kufukuzwa uanachama). Kwa ufupi Zitto Kabwe siyo kiumbe wa kuaminika, anaweza uza nchi. Kama ameweza kushiriki kumponda rais kwenye gazeti la wamarekani, je akiwa ndani ya serikali si ndiyo ataiba siri za nchi na kuziuza kwa wazungu. Kwa ufupi Zitto Kabwe hana chembe ya uaminifu!
 
Wakuu heshima kwenu....
Kutokana na umahiri wa huyu Kijana....
Akili kubwa!!!!!
Na kwamba hakuna mtoa hoja zenye uzito kama yeye kwa sasa bungeni....
Nitabiri tu kuwa huu mchezo hata magufuli amekubali... kwa sasa kilicho bakia ni kujiuliza kuwa ampange wizara gani maana kila mahali anamudu.
Naamini kuwa Magufuli haendeshi serikali kimazoea..... natambuwa pia anayo nafasi moja.....
Hata kama sio sasa ni baadae lakini naachia utabiri wangu huyu Kijana ni waziri mtarajuwa wa JPM

Umesoma katiba lakini ya jamhuri ya muungano wa Tanzania au unaropoka tu?
 
sidhani kama inaweza tokea kwani katiba yetu sidhani kama inaruhusu serikali ya mseto.

kumbuka zito ni mbunge kupitia act wazalendo na ndiye mkuu wa chama.
Katiba haina shida mkuu. Katiba inasema tu ili uwe waziri ni lazima uwe mbunge. Haisemi kwamba uwe mbunge wa chama tawala. Hata waziri mkuu siyo lazima atoke chama kimoja na Rais. Katiba inaelekeza kupendekeza mbunge wa kuchaguliwa ambaye ataonekana kiungwa mkono na wabunge wengi bungeni, kwa hiyo anapendekezwa mbunge toka chama chenye wabunge wengi.

Rais Magufuli anaweza kufanya hilo la Zitto kuwashangaza watu. Maendeleo hayana chama
 
Wakuu heshima kwenu....
Kutokana na umahiri wa huyu Kijana....
Akili kubwa!!!!!
Na kwamba hakuna mtoa hoja zenye uzito kama yeye kwa sasa bungeni....
Nitabiri tu kuwa huu mchezo hata magufuli amekubali... kwa sasa kilicho bakia ni kujiuliza kuwa ampange wizara gani maana kila mahali anamudu.
Naamini kuwa Magufuli haendeshi serikali kimazoea..... natambuwa pia anayo nafasi moja.....
Hata kama sio sasa ni baadae lakini naachia utabiri wangu huyu Kijana ni waziri mtarajuwa wa JPM
Ni mawazo yako tu hupaswi kubishiwa japo nimesahau kifungu cha katiba kinachokupa nguvu ya kulizungumza hilo uliolipenda moyoni mwako kama hilo hongera kwa mawazo mgando.
 
Back
Top Bottom