assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,905
- 4,054
kuna watu wako kama Tomaso, they don believe until they see. sasa kwa uchunguzi wangu binafsi, mwigulu alikuwa uvccm na sasa ndio waziri wa polisi na Mara nyingi polisi husema tumetekeleza amri toka juu.
Sasa kwa mtizamo wangu ni wazi Bavicha lazima watakwenda Dodoma is not a question anymore they will b there. Na polisi wakiendelea na kutosikiliza kelele za wananchi juu ya wao kutenda haki kwa watu wote bila kujali itikadi zao basi tabiri vurugu kubwa.
Naturally uvccm na Bavicha are rival so kwa vovote vile wakikutsna don't expect kuchekeana.
so busara iko wazi kabisa kwa jeshi la polisi kuavoid this disaster before it happens. haitakua busara mtoe tangazo wenyewe kisha mlivunje wenyewe.
nakumbuka mivutano ya kisiasa ilizaa hatari tupu
1) kifo cha mwangosi
2)vifo kule morogoro
3) vifo kule arusha
4)kifo cha mawazo
we don't learn anything?