Natabiri Msimu huu Arsenal Bingwa EPL...

Arsenal.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
We bibi kigagula unajua nini kuhusu mpira. Labda mipira mingine lakini si huu wanaocheza akina pogba. Wakati mwingine ni busara kukaa kimya kuliko kuropoka kitu kisicho fanana na dunia hii.
 
Arsenal.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Ni shule zilizojengwa na ccm ndio zinaleta shida zote hizi!! yaani badala mboreshe elimu mnaenda kununua mapangaboi na bahati mbaya yameshikiliwa!! mtaturudishia ela zetu hatutaki upuuzi!!
 
Kumbe unajua eeh!!

Sasa usiwalaumu watanzania na kuwaambia walienda kusomea ujinga shule wakati unajua kabisa chanzo cha ujinga ni liccm lako!!!

Of course najuwa kuwa serikali ya CCM imekupa uhuru wa kujenga shule upendayo na kusoma upendapo.

Kwa hiyo futa huo ujinga wako wa kila kitu kuisingizia ccm.

Sema ccm haikukutafutia na mume, lilia na hilo.

Punguani wahed.
 
Bia zangu umekunywa,hela zangu umekula,nauli yangu umekula.....utatoa hutoi?Nasema utatoa hutoiiii??

No matter how evil money is,but being broke is not holly.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom