Naanza kuhisi ile idadi ya wagombea 40 wa ccm na watu aina ya Lowasa kutogombea tena uraisi ifikapo 2020!
Utabiri wangu unatokana na ukweli kwamba raisi wa sasa JPM anaset standard ya uraisi juu sana kiasi kwamba wengi wataanza kuona ikulu ni sehemu tukufu ktk nchi na inahitaji mtu mwenye uthubutu na aliyejitoa kwa ajili ya nchi yake! Pia ukweli kwamba ikulu hamna tena deal/ujanjaujanja, lkn pia watakosa ya kuwahadaa nayo wananchi kwa kuwa mambo mengi yananyooshwa sasa!
Kipimo cha hali itakuwaje unaweza kuiona sasa ndani ya ccm ambapo watu wamebaki kusalimu amri na wenyewe kama wameshakubali kupisha Magufuli awe chochote ktk chama!
Ukimya wa wapinzani nayo ni ishara tosha kuwa raisi wa sasa amepandisha heshima ya ofisi ya Magogoni!