Natabiri kususwa, kutengwa kwa Magufuli na kudidimia kabisa kisiasa ifikapo 2020

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
9,785
20,164
Mlokua mnadhani magu atakua influencial leader imekula kwenu
Kadri siku zinavyozidi kwenda umaarufu unazidi kufifia kabisa na kuishiwa kabisa kisiasa
Na bado atasuswa na kila mtu kuanzia wabunge, mawaziri, na wananchi na ndani ya chama chake patagawanyika
Kila siku anazidi kukosolewa na bado huu ndo mwendo mdundo atazidi kudidimia kisiasa
2020 hakuna atakayemchagua kabisa
Natabiri kuanza kupingwa na kila mmoja na ukosoaji wa kila pande
Wengi watagoma hata kumsindikiza kwenye kampeni kabisa
Namuomba mungu na iwe hivyo
 
Mlokua mnadhani magu atakua influencial leader imekula kwenu
Kadri siku zinavyozidi kwenda umaarufu unazidi kufifia kabisa na kuishiwa kabisa kisiasa
Na bado atasuswa na kila mtu kuanzia wabunge, mawaziri, na wananchi

Afanye mabadiriko makubwa ya uongozi ndani ya chama chake aweke wale wanaompenda sana, pia aongeze maslahi kwa Jeshi la Polisi na lile la ulinzi hasa nafasi za juu na ahakikishe Tume ya Taifa ya uchaguzi haibadiriki sana, aiongezee rasilimali watu na ikiwezekana aongeze kuteua Wataalam wa masuala ya uchaguzi kama akina Jecha, 2020 lazima aibuke kidedea.
 
Mlokua mnadhani magu atakua influencial leader imekula kwenu
Kadri siku zinavyozidi kwenda umaarufu unazidi kufifia kabisa na kuishiwa kabisa kisiasa
Na bado atasuswa na kila mtu kuanzia wabunge, mawaziri, na wananchi
Kila siku anazidi kukosolewa na bado huu ndo mwendo mdundo atazidi kudidimia kisiasa
2020 hakuna atakayemchagua kabisa
Natabiri kuanza kupingwa na kila mmoja na ukosoaji wa kila pande
Wengi watagoma hata kumsindikiza kwenye kampeni kabisa
Namuomba mungu na iwe hivyo
Unamwomba Mungu iwe hivyo,na isipokuwa hivyo? Ujue Mungu si Athumani,pia dua la kuku halimpati mwewe.Ni utafiti/research umefanya au ni hisia? Sample yako, population, umetumia njia gani kupata data
n.k,hiyo conclusion umefikia baada ya ku-analyse data au short cut umetumia? Hebu nisaidie maswali yangu hayo na njia zingene za kufanya utafiti ili nami niwe mtaalamu wa utafiti, vinginevyo ni utafiti usiokuwa na break na what do you expect(Kidarassa Darassa)·
 
Naomba nitumie lugha laini na nyepesi kwa wote mlioko ndotoni kuwa magufuli atakosa uungwaji mkono 2020 kutoka kwa Watanzania wengi kuwa ni WAKUPUUZWA. Mwaka 2020 magufuli anaenda kuwa raisi kwa kuchaguliwa kwa asilimia 90 ya wapiga kura.
 
Bao la Mkono.
 
Back
Top Bottom