Natabiri CHADEMA lazima isambaratike...

13/03/2016 niliandika haya leo 26/11/2020 ukweli umetimia.
 
Unatabiri vitu ambavyo viko wazi kabisa
Mbona hata mtoto mdogo analijua Hilo
Utabiri hufanywa kwa Mambo ambayo hayana hata dalili ya kutokea kabisa
Lakini kila kitu kipo wazi unajifanya mtabiri
 
Chadema ni wasaka tonge tu, wala sio watetezi wa wanyonge!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…