Natabiri CHADEMA lazima isambaratike...

Leo unasemaje?

Unataka kuniambia Polisi, Speaker, na Serikali ya CCM wanabaka Katiba kupambana na kivuli? Nilifikiri wangekuwa wamerelax sasa na kuweka nne na sio kihangaika kuliko "walioisha"

Miaka mitano siasa wamefanya CCM peke yao, wamewafunha magerezani, Wamemunua watu wao, wamefanua kila ujinga lakini bado CHADEMA waliweza kusimamisha wagombea Serikali za Mitaa kwa zaidi ya 85% ya nchi nzima.. 2014 waliweza 46% pekee!!

Ukiwa na mtindio wa ubongo ndio huwezi kuiona kweli.
 
Mwaka 2020 niliombwa kutoa ushauri wa uchaguzi kwa chama cha CUF wilaya fulani. Nikawaambia chama chenu kimekwisha huku Bara. Ila mjikite sana kwenye Udiwani na Ubunge. Wakanijibu kama wewe ulivyonijibu tens wakaongezea, "CUF tunajiandaa kuchukua nchi wewe unasema tumekwisha!? Hufai kuwa mshauri wetu...! Leo wako wapi?
 
Hii ramli uliosema nimepiga imetimia au haijatimia? Lowasa karud ccm na chama kimepotea sema kingine.... Manabii wapo
Tatizo hapa siyo Lowasa bali naomba urejee bandiko lako kuhusu Ben Saanane.
Naona unatumia nguvu nyingi kutusahaulisha jambo ambalo nalo litafail pia.
 
Ukweli CDM inazidi kuingia miyooni kwa wapenda haki na amani kila baya linavyo ongezeka
 
Kongole kwako#TumainiEl, utabiri wako umetimia. Wameshasambaratika tayari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
pweza mtabiri kombe la dunia 2010 pale south africa alichemka vibaya sna ktk utabir wake naona ushaanza kuwa pweza mtabir muda si mrefu utapondwa na mawe had kufa kama pweza mtabur kwa kuchemka
Watu wanaona mbali jomba
 
Watu wanaona mbali jomba
Ngumu sana chadema kusambaratika kama serikali waliwekeza nguv kule hii miaka mi5 na bado wanahaha nani wa kuweza hayo? Hadi spika saiv anafanya hiyo kazi kachukukuliwa had mbatia afanye hiyo kazi bado kwao ni ngumu chadema kimejengwa muda mrefu sana wameondoka watu muhimu sana lakin taasisi iko palepale.
 
Inawezekana, kwani uliwahi kutabiri ukoo wenu mtakuwa makapuku kwa vizazi vyote na mko hivyo hadi sasa na mtaendelea kuwa hivyo. tatizo sio utabiri wako bali tatizo la ukoo wenu ni kukumbatia uvivu, majungu na umbea badala ya kazi.
 
Chadema ipo na itaendelea kuwepo daima,
Kuondoka kwa Changudoa aliyekubuhu na masikini wenye njaa kali ,wanaowaza kushiba Leo tu bila kujua kesho yao itakuwaje,
Hicho si kigezo cha chama kufa, unapozungumzia Chadema unazungumzia Tanzania, chama kimeshikiliwa na wanachama ambao ni wananchi, na ndio mana kinashambuliwa na serikali,bunge mpaka usalama
Sasa basi ukiona mtu mmoja anashambuliwa na kundi kubwa, ujue huyo ni tishio na ataendelea kuwa tishio,Chadema inaungwa mkono sana tu tena mpaka na wana CCM ,ukitaka kuamini hilo serikali iruhusu mkutano hata mmoja tu ndio utaamini maneno yangu,
"Anayelazimisha kupendwa ni tofauti na anayependwa"
 

Then ww unapata faida gani
 
Kama mnapima chama kwa kuondoka wabunge au madiwani wasio msimamo mnajidanganya. Chadema inaweza kuwa imetingishwa lakini haijayumba iko imara na inakubalika sana miongoni mwa watumishi wa umma, wastaafu, wafanyabiashara, wanafunzi, vijana wasio na ajira pamoja na elimu zao, wakulima walio dhulumiwa na wote wenye akili timamu.
Watu hawajui tuu ni kwa nini CCM iliamua kuvuruga uchaguzi wa serikali za mitaa, ukweli utafiti wao ulionyesha CCM haikuwa na uwezo wa kupata hata 30% ya mitaa, vijiji na vitongoji hivyo wakaamua kuengua 90% ya wagombea wa upinzani kibabe. Hapo bado utasema Chadema imekufa? Kisa? Wabunge waoga na wenye tamaa kuondoka?
 
Uliona wapi biashara ya daladala ikafa kwa kukosa abiria,akishuka mtu upanda mtu.Au timu ya mpira kufa kwa kuondokewa na wachezaji? Upinzani una hazina kubwa Sana ya underground wengi upcoming ambao ni vichwa maelfu kwa maelfu cheki mfano kina Abdul Nondo kwa uchache,anaedhani anaedhani atawamaliza kwa kuwanunua aandae tu bajeti atachoka mwenyewe
 
Vipi utabiri lini utatimia?
 
Anaewaza atauwa upinzani akapimwe akili atakufa yeye upinzani upo Hadi mwisho
 
Maneno yametimia au hayajatimia?
Lete ushahidi, uongozi bado imara wameshindwa polisi, DPP, mahakama, msajili, manunuzi, wasiojulikana,chaguzi feki,hata nccr kama karantini ya ccm nao washashindwa.
 
Lete ushahidi, uongozi bado imara wameshindwa polisi, DPP, mahakama, msajili, manunuzi, wasiojulikana,chaguzi feki,hata nccr kama karantini ya ccm nao washashindwa.
Najuwa mpaka 2020 Oct utanielewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…