Natabiri CHADEMA lazima isambaratike...

Nilifikri hayo yangetokea Wilbroad Slaa alipoondoka lakini wapi...nikasema sasa Lowassa anaondoka CDM itakwisha wapi...akaja Sumaye wapi...wakaja madiwani wapi.... wakaja wabunge wengi tu wapi.....hata akiondoka Mnyika, Mbowe wapi...Chadema ni chama cha umma ni tofauti na ATC na vyama vingine.
 
yanatimia sasa
 
Na wewe usikubali propaganda



Waafrica siku zote tunajizika wenyewe zito na wenzake wapo Kama wale watu ambao wanamtaka dereva wa gari Aliebeba abiria ndani ya gari ambalo liko speed so wamemsimamisha dereva hajasimama so wanaona ili wampate Basi itabidi wajitaid gar ipate ajali bila kujal abilia waliomo ndan wao wanacho jali ni dereva atoke hayo mengine Sio inshu kwao Sasa leo sukari hamna sidhan Kama magufuli anakosa sukari yeye Ila wananch wa kawaida ndio wanao angaika OGOPA PROPAGANDA ACHA UPOTOSHAJI TETEA TANZANIA NYAMAZISHA MAADUI WETu
 
Anayoyafanya Mbowe hayatofautiani na Mrema miaka 15 iliyopita na ndio maana NCCR ikafa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anayoyafanya Mbowe hayatofautiani na Mrema miaka 15 iliyopita na ndio maana NCCR ikafa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hya ya kufukuzana yalianza toka Chacha Wangwe leo miaka mingapi imepita ila CHADEMA ipo?

Waliondoka kina Zitto na Dr slaa ambao walikua influential zaidi ya wapinzani wote ila bado chama kikazoa kura Million 6 na wabunge 70!!

Humu mitandaoni kejeli nyingi ila chaguzi zikifika mnaanza zengwe cjui kuwaengua!!

Mnachoogopa ni nini haswa?
 
Haya ni maneno ya mkosaji. Short-sighted and frustrated individual.
 
Kumbe unajua Ben Saanane yuko wapi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…