Hatabiriki ana ndimi mbili anaweza kutunadisha mchana wa jua kali, na ndiyo maana Mama amemshitukia mapema kabisaWaziri Mkuu lazima awe Mbunge wa kuchaguliwa na wapiga kura kupitia jimbo la uchaguzi. Labda awe waziri wa kawaida. Huyu anafaa utawala bora maana ni political scientist.
Bila Jimbo awe waziri mkuu ?!. Katiba ya wapi mkuu ?!Wengi wanamcheka na kumkejeli baada ya hivi karibuni kupanda na kushuka kwenye vyeo tofauti.
Mimi naona huyu anakwenda kuwa Waziri Mkuu baada ya jamii kupoteza imani na aliyepo kutokana na kusema uongo na kutoa vijembe msikitini wakati JPJM akiwa katika hali mbaya na hatimaye kuiaga dunia.
Bashiru yuko makini sana na ni mfuatiliaji sana. Mnakumbuka alivyofuatilia mali za chama ambazo watu waligeuza ni mali zao binafsi. Huyu anatufaa. Yale maneno kusema hatapokea cheo kingine ni siasa tu hata hayati JPJM aliwahi kunukuliwa kukana kuutaka urais lakini baadaye akajitosa na kuukwaa.
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Au nasema uongo ndugu zangu?
Phew. Waziri mkuu yupo acha kuota mchana mwananguWengi wanamcheka na kumkejeli baada ya hivi karibuni kupanda na kushuka kwenye vyeo tofauti.
Mimi naona huyu anakwenda kuwa Waziri Mkuu baada ya jamii kupoteza imani na aliyepo kutokana na kusema uongo na kutoa vijembe msikitini wakati JPJM akiwa katika hali mbaya na hatimaye kuiaga dunia.
Bashiru yuko makini sana na ni mfuatiliaji sana. Mnakumbuka alivyofuatilia mali za chama ambazo watu waligeuza ni mali zao binafsi. Huyu anatufaa. Yale maneno kusema hatapokea cheo kingine ni siasa tu hata hayati JPJM aliwahi kunukuliwa kukana kuutaka urais lakini baadaye akajitosa na kuukwaa.
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Au nasema uongo ndugu zangu?
Mwaka upi? Maana ni mpaka akagombee achaguliweWengi wanamcheka na kumkejeli baada ya hivi karibuni kupanda na kushuka kwenye vyeo tofauti.
Mimi naona huyu anakwenda kuwa Waziri Mkuu baada ya jamii kupoteza imani na aliyepo kutokana na kusema uongo na kutoa vijembe msikitini wakati JPJM akiwa katika hali mbaya na hatimaye kuiaga dunia.
Bashiru yuko makini sana na ni mfuatiliaji sana. Mnakumbuka alivyofuatilia mali za chama ambazo watu waligeuza ni mali zao binafsi. Huyu anatufaa. Yale maneno kusema hatapokea cheo kingine ni siasa tu hata hayati JPJM aliwahi kunukuliwa kukana kuutaka urais lakini baadaye akajitosa na kuukwaa.
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Au nasema uongo ndugu zangu?
Utawala bora hapataki mnafiki ndio maana unaona Mkuchika kazeekea paleWaziri Mkuu lazima awe Mbunge wa kuchaguliwa na wapiga kura kupitia jimbo la uchaguzi. Labda awe waziri wa kawaida. Huyu anafaa utawala bora maana ni political scientist.
Usiropoke tu, KATIBA ya nchi umeisoma?Wengi wanamcheka na kumkejeli baada ya hivi karibuni kupanda na kushuka kwenye vyeo tofauti.
Mimi naona huyu anakwenda kuwa Waziri Mkuu baada ya jamii kupoteza imani na aliyepo kutokana na kusema uongo na kutoa vijembe msikitini wakati JPJM akiwa katika hali mbaya na hatimaye kuiaga dunia.
Bashiru yuko makini sana na ni mfuatiliaji sana. Mnakumbuka alivyofuatilia mali za chama ambazo watu waligeuza ni mali zao binafsi. Huyu anatufaa. Yale maneno kusema hatapokea cheo kingine ni siasa tu hata hayati JPJM aliwahi kunukuliwa kukana kuutaka urais lakini baadaye akajitosa na kuukwaa.
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Au nasema uongo ndugu zangu?
Hujui hata katiba ndugu,waziri mkuu lazima atokane na mbunge wa kuchaguliwa jimboni.Hebu tuambie Bashiru anatoka jimbo gani?Wengi wanamcheka na kumkejeli baada ya hivi karibuni kupanda na kushuka kwenye vyeo tofauti.
Mimi naona huyu anakwenda kuwa Waziri Mkuu baada ya jamii kupoteza imani na aliyepo kutokana na kusema uongo na kutoa vijembe msikitini wakati JPJM akiwa katika hali mbaya na hatimaye kuiaga dunia.
Bashiru yuko makini sana na ni mfuatiliaji sana. Mnakumbuka alivyofuatilia mali za chama ambazo watu waligeuza ni mali zao binafsi. Huyu anatufaa. Yale maneno kusema hatapokea cheo kingine ni siasa tu hata hayati JPJM aliwahi kunukuliwa kukana kuutaka urais lakini baadaye akajitosa na kuukwaa.
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Au nasema uongo ndugu zangu?
Hajui...Katiba umesoma vizuri inasema Mbuge yupi anaweza kuwa Waziri Mkuu?
Waisome namba.Saa nne saa hizi kuna mtu yupo Kwenye njozi bado?
Labda waziri mkuu wa chato huko mulebaWengi wanamcheka na kumkejeli baada ya hivi karibuni kupanda na kushuka kwenye vyeo tofauti.
Mimi naona huyu anakwenda kuwa Waziri Mkuu baada ya jamii kupoteza imani na aliyepo kutokana na kusema uongo na kutoa vijembe msikitini wakati JPJM akiwa katika hali mbaya na hatimaye kuiaga dunia.
Bashiru yuko makini sana na ni mfuatiliaji sana. Mnakumbuka alivyofuatilia mali za chama ambazo watu waligeuza ni mali zao binafsi. Huyu anatufaa. Yale maneno kusema hatapokea cheo kingine ni siasa tu hata hayati JPJM aliwahi kunukuliwa kukana kuutaka urais lakini baadaye akajitosa na kuukwaa.
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Au nasema uongo ndugu zangu?
Mwenyekiti wa kijijiAnafaa kupewa another great demotion
Atakula alipopeleka ugali
Msishangae saaana,Inawezekana,No one know the future,Future is Mystery