Nasumbuliwa sana na kiuno

Naomba msaada kwa anaefahamu dawa ya kuondoa maumiv ya kiuno
Nadhani tiba yake sio kuondoa maumivu tu bali kujua chanzo cha maumivu hayo na kukishughukia.

Chanzo kikishughulikiwa na tatizo litaondoka mara moja na halitarudi tena. Lakini dawa za maumivi zinaondoa tu maumivu na tatizo linabakia pale pale. Kwa hiyo utakua mtu wa dawa kila mara na mwishoni litakuwa sugu.

Nakushauri tafuta chanzo chake.
Wasiliana na dkt wa viungo kwa ushauri. 0699254400
 
Mkuu una uzito wa kg ngapi tuanzie hapo kwanza maana mtu akiongezeka uzito shida za kiuno hutokea mara kwa mara.
 
Back
Top Bottom