Nasumbuliwa na simu (Unknown number)

Nasumbuliwa na simu (Unknown number)

Echolima

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2007
Posts
3,824
Reaction score
2,079
Ni kipindi kirefu sasa kila wakati napigiwa simu na UNKNOWN NUMBER Na ukipokea haongei kwa siku inaweza kupiga mara nne au tano kila siku hivyo kusababisha usumbufu usio wa lazima mwenye uelewa nisaidie tafadhali!!!.
 
Kwenye simu ndogo za samsung kuna feature ya FAKE CALL , angalia usikute ndio hiyo inajipiga yenyewe
 
Ni kipindi kirefu sasa kila wakati napigiwa simu na UNKNOWN NUMBER Na ukipokea haongei kwa siku inaweza kupiga mara nne au tano kila siku hivyo kusababisha usumbufu usio wa lazima mwenye uelewa nisaidie tafadhali!!!.
Hata mimi inanisumbua sana hadi kero
 
mimi jana nimepigiwa simu na jamaa anajitambulisha yeye ni wakala wangu wa Airtel akauliza jina langu nikakata simu nilipanga akipiga tena nimtukane matusi mengi sana
 
Mími pia natumia nokia mwezi uliopita nilikua napigiwa simu kila baada ya masaa 2 na namba ya tigo 0718... Alafu ukipokea haongei then secunde 5 zikipita inakata

Nikaamua kui block basi ikawa solution
 
Back
Top Bottom