Bujiku Karanga
New Member
- Sep 22, 2026
- 2
- 2
Hospitali ya HALMASHAURI YA MJI MBINGA Rushwa imetamalaki yaani kuenda pale kutibiwa wahudumu wanaona kama umewapelekea hela ya vikoba au ya mafuta ya magari au pikipiki zao
Mgonjwa kununulishwa dawa wodi ni kitu cha kawaida sana, ukitoka mapokezi ukaenda Kwa daktari kama Kuna sindano au dawa atakuandikia mtamalizana humo humo.
Na wagonjwa wa meno wanapita Moja Kwa Moja Kwa mtoa huduma na mtamalizana huko huko bila kupita mapokezi malipo unampa yeye utadhani mradi watu binafsi na hakuna anayejali.