Nasumbuka na uzazi

Abbitto

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
547
Reaction score
757
Natumaini mu wazima hata kama sio mia kwa mia lkn pumzi ipo.Mwenzenu nina shida hasa inayonikosesha furaha ya maisha maana nimeolewa mwaka Wa tatu sasa sijafanikiwa kupata mtoto, sijawahi kutoa mimba ila nimekunywa dawa nyingi za mitishamba bila mafanikio.

Mwaka Jana mwishoni nilienda hospitali wakagundua nilikuwa na fungus kwenye kizazi na mirija yote ilikuwa imeziba,walinipa dawa za kutibu iyo fangas na niliona mabadiliko na pia walinizibua mirija nayo pia niliona mabadiliko.

Sasa ni miezi mitano imepita bado sijashika mimba,sasa bas najua humu kuna madoctor au wahanga ambao waliwahi kupitia hali kama yangu Kwa kweli naomba msaada wenu.natanguliza shukrani zangu za dhati

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miezi mitano bado ni michache sana kukata tamaa maadamu tatizo ulishalipatia suluhisho (kulitibu)

Ila ushauri wangu ni kuishi katika lifestyle ya kutafuta Mtoto kwa maana ya kwamba kushiriki tendo sana ndani ya zile siku ambazo kuna chance kubwa ya kushika mimba(nb: hii haina maana siku nyingine msishiriki).

Wanawake wengi wana tatizo la kuchange swing mood (kubadilika tabia na mienendo ya ukali upweke na vitu kama ivi) wanapokuwa katika kipindi cha fertilization so ni muhimu kujilazimisha kufanya tendo hata kama huna mood coz kipindi ichi haufanyi kwa ajili ya starehe bali ni kutafuta mtoto

Kutokana na maendeleo ya kiteknolojia sasa hivi kuna application nyingi za simu zinazoweza kukusaidia kutrack mzunguka wako e.g flo... itafute hii ni nzuri ilimsaidia dada flani ivi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashukuru Kwa ushauri kuhusu kutrack ov huwa najua kabisa hapa naov koz mzunguko wangu ni Wa siku 28 nikikaribia ov kuna dalili nazionaga na tunakuwa tunafatisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mumeo Yupo vuzuri? (Utimamu wa afya ya uzazi)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenikumbusha, mbali sana mkuu. Kuna mdada alikuwa jirani yangu back then 2009 alikuwa kabila langu, akawa anasimangwa na mumewe kwa tatizo kama lako, basi nikawa namtania namwambia anipe na mimi tuone kama kweli anatatizo, duh si-siku moja tukacheza mchezo, lahaula, baada ya few weeks, kaona mabadiliko,....! Somo, mwambie jamaa naye akapime mkuu.
 
Pole sana! Ila kikubwa mpe jamaa mzigo apige tani yake utanasa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante kwa info

Sent using Jamii Forums mobile app
 





Sent using Jamii Forums mobile app
 
awali ya yote nikupe pole sana maana unahitaji then hupati kwa muda wako japo naamini utapata,
kikumwa mshauri mme wako nae akapimwe upate uhakika ujue shida ipo wapi. jambo jingine ambalo linaweza lisionekane hospitalini ila linawatesa wanawake wengi ni overweight, ukiwa na uzito mkubwa mimba huwa ni changamoto kushika japo si kwa wote ila hilo ninauhakika nalo,
Angalia ulaji wako yani punguza vyakula vya wanga/sukari kwa kiasi kikubwa kadri uwezavyo na ukifanya hivyo utapata mafanikio makubwa sana, sukari na wanga inakuwa kama dawa za kuzuia mimba hasa ikiwa we ni mlaji wa vyakula vya wanga na sukari kupindukia,
Nimekueleza juu juu maana sijajua pia na upande wa pili anahali gani.
 
Sawa,ila mm sio mnene wala mwembamba nipo kati tu labda uo ushaur Wa yy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata my Calendar nayo ni nzuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…