joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 19,520
- 41,731
Mimba.Nikikutoa out we utanipa nn?
Kivipi tena, kwa me kuwa na kitasa?Na K utanipa?
MhhhhMimba.
Ananimudu vema mbonaItabidi tuje tumsaidie
Iko vizuri, kama usemayo ni ya kweliAnanimudu vema mbona
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Wadada, hela zenu ngumu kweli za kwetu mnazitaka, ila za kwenu hamtaki kuzitoa, nyie kila wiki-end, mnawalazimisha waume zenu kuwatoa 'out' kwa gharama zao, huo si uungwana, bali ni unyonyaji.
Nipo hapa nasubiri mwanamke anitoe 'out'
tutafikishana tu huko kibo, kwani na wewe si utapenda uenjoy zaidi so kufikishana will be a must hapo πSawa kaa na hela zako ila nikitumia gharama zangu sitakufikisha Kibo. Nikimaliza dk zangu napumzika. My happiness matters first.
siyo uchoyo tuna kazi nazo, Labda nikutoe ukanywe soda au Juice tu, ila ukiagiza nyama choma na beer unalipia mwenyewe πAcheni uchoyo
Ndio hivyoInasikitisha sana, alikugeuza kuwa chuma ulete?
Ndio maana wanaume tunakufa harakasiyo uchoyo tuna kazi nazo, Labda nikutoe ukanywe soda au Juice tu, ila ukiagiza nyama choma na beer unalipia mwenyewe π
si wanasema wanaume mmeumbiwa mateso ndiyo hayo sasa, kwani sisi huko labor tunasaidiwa? kila mtu apambane πNdio maana wanaume tunakufa haraka
Hakuna anayependa matesasi wanasema wanaume mmeumbiwa mateso ndiyo hayo sasa, kwani sisi huko labor tunasaidiwa? kila mtu apambane π