Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,624
- 65,097
- Thread starter
-
- #61
Haya mambo ya kufungiwa ndani na funguo kutupwa, hapana 😀 😀 😀Karibuni, njooni hapa Golden hotel floor ya pili namba 205....karibuni sana mle mnywe vitu vyangu
Ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindanoNjoo nikutoe out ila sharti langu ni Moja tu Watusi mazulia wote Waite Malaya halafu ukimaliza Niko ready tunaenda njiro Kwa nyama choma
Yaani wanatuzushia, mwishowe vibaka watuvizie watukabe wakijua tuna hela kweliWanatuonea tu sisi jamani!
Si mnatupaga nyie hizo hela jamani, mnazitaka tena?Hizo hizo za vikoba
Wakiona na vipochi vyetu vya swagga walah tumekwisha🙉🙉 watatutoa roho bureeYaani wanatuzushia, mwishowe vibaka watuvizie watukabe wakijua tuna hela kweli
Kumbe hatuna hata mia
Tuombe serikali ituwekee ulinzi, kabla hatujadhurika 🙆🏾Wakiona na vipochi vyetu vya swagga walah tumekwisha🙉🙉 watatutoa roho buree
Sawa kaa na hela zako ila nikitumia gharama zangu sitakufikisha Kibo. Nikimaliza dk zangu napumzika. My happiness matters first.Nakushauri kama ulikua unasubiri ukiwa umesimama chukua kiti ukae kabisaa, hela zetu zina macho hazitoki toki kirahisi[emoji2]
Sitaki kuulizwa chochote,we ushasema wangu Ni wangu tu..sitaki intruder😀 😀 😀 ebu muulize kwanza, akikubali nakupatia; ingawa utakimbia huku ukiwa umeshika kufuli mkononi
Mkono wa kupokea uwe pia mkono wa kutoaSi mnatupaga nyie hizo hela jamani, mnazitaka tena?
🤣🤣🤣🤣🤣Mama Samia atalifanyia kazi hiliTuombe serikali ituwekee ulinzi, kabla hatujadhurika 🙆🏾
Acheni tamaa😂Mkono wa kupokea uwe pia mkono wa kutoa
Maandiko yanasema, pendaneni kama nilivyowapenda ninyiSitaki kuulizwa chochote,we ushasema wangu Ni wangu tu..sitaki intruder
Tutunzeni tuwatunze piaAcheni tamaa😂
Tunawatunza kwa kuwapikia vinono mle mnawiri vemaTutunzeni tuwatunze pia
Tukipendana Mimi na wewe inatoshaMaandiko yanasema, pendaneni kama nilivyowapenda ninyi