Nasubiri mwanamke anitoe 'out'

Yule aliyekubana kwa mapaja yake kipindi upo na mchepuko wako ili amkomeshe,,hadi ukahama na meza kabisa vipii kwani??amegoma kukutoa auti??
Wale ni wachunaji πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Inasikitisha sana, alikugeuza kuwa chuma ulete?
 
Wadada, hela zenu ngumu kweli za kwetu mnazitaka, ila za kwenu hamtaki kuzitoa, nyie kila wiki-end, mnawalazimisha waume zenu kuwatoa 'out' kwa gharama zao, huo si uungwana, bali ni unyonyaji.

Nipo hapa nasubiri mwanamke anitoe 'out'
Me pia nasubir nitolewe out na mwanamke
Karibuni, njooni hapa Golden hotel floor ya pili namba 205....karibuni sana mle mnywe vitu vyangu
 
Wadada, hela zenu ngumu kweli za kwetu mnazitaka, ila za kwenu hamtaki kuzitoa, nyie kila wiki-end, mnawalazimisha waume zenu kuwatoa 'out' kwa gharama zao, huo si uungwana, bali ni unyonyaji.

Nipo hapa nasubiri mwanamke anitoe 'out'
Njoo nikutoe out ila sharti langu ni Moja tu Watusi mazulia wote Waite Malaya halafu ukimaliza Niko ready tunaenda njiro Kwa nyama choma
 
Ivi unawajua hawa viumbe vizur yaan mwanamke akitoa hela yake jua yupo kwenye mission na anauwakika itarudi tu tena kubwa zaidi ya iyo atayoitoa kwako
Uko sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…