Nasubiri mdahalo wa Lowassa na Magufuli

SAIZI YANGU

JF-Expert Member
Nov 8, 2013
381
83
Naombeni sana waandaji wa midahalo, hebu andaaeni mdahalo utakaowahusisha Lowasa na Mgufuli tuone hoja za pande zote.
 
Hakuna Mwny Uwezo wa Kuzungumza kwa Ufasaha kati ya Magufuli na Lowassa. The Best President kwn Upande wa Hotuba za kiakili zaidi ni Benjamin Mkapa
 
nina wasiwasi na mgombea wetu wa ukawa katika kujenga hoja na kuitetea lowassa ni mtendaji na c mwongeaji lakini magufuli ni bigwa wa kujenga hoja dhaifu na kuzitetea tofauti yake na prof muhongo ni magufuli alikuwa wzr ya ujenzi muhongo alikuwa wzr ya nishati kuhusu swala la kuwa bigwa wa kukalili ill si inshu kwa watu wenye ufahamu kwan kama kukalili ni akili mdogo wangu wa miaka 12 amekalili msahafu mzima kama kukalili ni akili basi mdogo wangu inawezekana akamzidi akil tena kwa mbali sana magufuli kwani kitabu kizima cha mungu kipo kichwani sembese vi KM vya barabara na takwimu za uongo za idadi ya samaki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom